Ruge Opinion JF-Expert Member Joined Mar 22, 2006 Posts 1,838 Reaction score 705 Feb 23, 2010 #21 Katoma said: I wonder if makumbusho ya taifa ina taarifa ya mtanzania huyu Click to expand... Wee Katoma onyesha heshima kwa marehemu Prof. Justinian Rweyemamu. Ondoa hiyo picha. Siyo identity yako hata kama unatoka Katoma alikozaliwa Prof.
Katoma said: I wonder if makumbusho ya taifa ina taarifa ya mtanzania huyu Click to expand... Wee Katoma onyesha heshima kwa marehemu Prof. Justinian Rweyemamu. Ondoa hiyo picha. Siyo identity yako hata kama unatoka Katoma alikozaliwa Prof.
Katoma Senior Member Joined Mar 11, 2008 Posts 133 Reaction score 10 Feb 23, 2010 Thread starter #22 Ruge Opinion said: Wee Katoma onyesha heshima kwa marehemu Prof. Justinian Rweyemamu. Ondoa hiyo picha. Siyo identity yako hata kama unatoka Katoma alikozaliwa Prof. Click to expand... My avatar has nothing to do with my identity, so as my JF name. Kwa kutumia picha ya JFR kwangu mimi ndio kuonyesha heshima.
Ruge Opinion said: Wee Katoma onyesha heshima kwa marehemu Prof. Justinian Rweyemamu. Ondoa hiyo picha. Siyo identity yako hata kama unatoka Katoma alikozaliwa Prof. Click to expand... My avatar has nothing to do with my identity, so as my JF name. Kwa kutumia picha ya JFR kwangu mimi ndio kuonyesha heshima.
epigenetics JF-Expert Member Joined May 25, 2008 Posts 269 Reaction score 81 Feb 23, 2010 #23 nyani<abiziani> said: inabidi mabaki yake yarudi home kama vipi. Click to expand... nadhani hamna mabaki, kwenye concentration camp walikuwa wanawachoma moto watu wakiwa hai. Sasa waliofariki wakiwa ufungwani sitaki kufikiri miili yao waliifanya nini.
nyani<abiziani> said: inabidi mabaki yake yarudi home kama vipi. Click to expand... nadhani hamna mabaki, kwenye concentration camp walikuwa wanawachoma moto watu wakiwa hai. Sasa waliofariki wakiwa ufungwani sitaki kufikiri miili yao waliifanya nini.
Ndahani Platinum Member Joined Jun 3, 2008 Posts 18,160 Reaction score 9,151 Feb 23, 2010 #24 Nakushukuru mtoa thread. I have added something new today>