Hivi huu mchezo unafundisha nini?
Big Brother Africa.
Mengine watakujibu watalaam wa humu.
BBA ndio nini ?
Hivi huu mchezo unafundisha nini?
Very interesting .Big Brother Africa is the African version of the Big Brother reality game show. The show initially involved 12 countries within Africa ( Angola, Botswana, Ghana, Kenya, Malawi, Namibia, Nigeria, South Africa, Tanzania, Uganda, Zambia& Zimbabwe) with two countries ( Ethiopia and Mozambique) being added in season 4 and two other countries ( Liberiaand Sierra Leone) being added in season 7. Each country provides a contestant living in an isolated house while trying to avoid being evicted by viewers and ultimately winning a large cash prize at the end of the show. The show is co-produced by Endemol South Africa
BBA ndio nini ?
Mwakilishi wa Tanzania,Dada yetu Feza Kessy muda huu katika jumba la BBA anaonekana akishikwashikwa, analiwa mate na anagugumia kuwa raha zinamzidia, muda wote camera za jumba hilo zikiwamulika wakiendelea na "maraha" hayo.
Shemeji yetu Oneil nae bila ajizi anaitumia nafasi hiyo sawasawa, may be atamwachia mimba dada yetu ili tupate damu kutoka Botswana. Yawezekana ikawa ni mbinu ya mashindano ili wasitolewe mapema, check it out!
Utamu unaendelea...
BBA ndio nini ?
are they fking stupid enough to have unprotected sex with each other??Mwakilishi wa Tanzania,Dada yetu Feza Kessy muda huu katika jumba la BBA anaonekana akishikwashikwa, analiwa mate na anagugumia kuwa raha zinamzidia, muda wote camera za jumba hilo zikiwamulika wakiendelea na "maraha" hayo.
Shemeji yetu Oneil nae bila ajizi anaitumia nafasi hiyo sawasawa, may be atamwachia mimba dada yetu ili tupate damu kutoka Botswana. Yawezekana ikawa ni mbinu ya mashindano ili wasitolewe mapema, check it out!
Utamu unaendelea...
jinsi ya kuishi na watu