wacha agawe uroda huku ndugu zake wazazi na marafiki na afrika nzima perhaps dunia as well wakimuangalia,chezea fedha wewe!!. ni mbinu ya kuendelea kumuweka ndani ya jumba/danguro huria, akipata dolariz akirudi tz yote tunasahau tunampokea kwa shangwe na flowers. shindano lilolipata watanzania waliaapa kutoruhusu watanzania kushiriki kwa kiasi wanavyotutia aibu, ila ikabaki historia...msimu huu pia wameenda, mbona washiriki wa nchi zingine hawaliwi hovyo hovyo? wanatumia trick mbadala kupigiwa kura za kuendelea kuwepo