BBA jumba la ngono, uzinzi na ulevi.

yalianza uk,yakadoda....wakaiacha naona africa ndio imeshika kasi labda na yenyewe itafika mahali itachosha na kufa....

Wazinzi wanaongezeka kila mwaka Africa, sidhani kama wataiacha. Kwa Africa yetu hii, utasikia hadi vitoto vya STDIII vinasimulia BBA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…