BBA Prezzo Flaunts New Girlfriend(photos)

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
article-2508107-1970CA0000000578-711_634x414.jpg

article-2508107-197086BE00000578-27_634x388.jpg

010.jpg
 
Msichana mzuri maskini lakini anavutiwa na wanaume ambao uhakika wa kumuoa ni mdogo.
 
sio lazima kusema kwa uwazi kila kitu

wengine awaelewi,sisi wengine nchi tulizokulia ukibugi unapewa live bila chenga bila kuzunguka wala kukuonea aibu.
na alivyokuwa anajishebedua ,ni kama penny aliweka picha yuko na diamond akaandika mtuache tulale team wema,kesho yake picha zikavuja diamond na wema wakila bata Hongkong na walilala wote,mwisho wa siku unazimia.

usimsemee mwanaume,wengine awatabiriki
 
Kweli aisee umeongea vyema wengine hawatabiliki wala kueleweka,bora uttulie tuli:tape:
 
Prezzo jilie vtu vyako mkuu!maaana wenyewe wanajigonga kwasababu wanajua yoote kuhusu ww ila bado wanakuja piga mambo mzeee kama kawaaa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
yule mwingine wa kujitatoo alisema mahari inakuja.....matokeo yake kimyaaaaaa....kwa hudda naona alikuwa saiz yake wote vichaa sasa huyu mama mtu mzima nae akajibebishe na kujitoa ufaham mmmmhhh:tape:

CTRL + Q to Enable/Disable GoPhoto.it
 
Huddah wanaenda sawa,ye anajifanya chizi huddah kichaa
 
Msichana mzuri maskini lakini anavutiwa na wanaume ambao uhakika wa kumuoa ni mdogo.

Chaga barbie ni golddiger..umri.mkubwa bado anakitombesha tu..wadogo zake wameolewa yy anajiona km under 18 mwache achezewe
 
yule mwingine wa kujitatoo alisema mahari inakuja.....matokeo yake kimyaaaaaa....kwa hudda naona alikuwa saiz yake wote vichaa sasa huyu mama mtu mzima nae akajibebishe na kujitoa ufaham mmmmhhh:tape:

CTRL + Q to Enable/Disable GoPhoto.it

wenyewe wanasema age is just a number lol
 
Chaga barbie ni golddiger..umri.mkubwa bado anakitombesha tu..wadogo zake wameolewa yy anajiona km under 18 mwache achezewe

Age mate wake kina cynthia masasi washaolewa na kuzaa yeye kila siku na baby mpya.
 
Back
Top Bottom