Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama binadamu huwezi kukaa kwenye kundi kama la bba ukasema hujamtamani mtu hata mmoja wa kuweza kukaa nae na kuweza kuwa mnaongea mambo yenu binafsi ambayo huwezi mkayaongea kwenye kundi,nadhani kama umeangalia vizuri NANDO amebadilika sana baada ya SELLY kuingia jumba la DIAMOND na hapo ndio utajua kuwa kumbe ukiwa na mtu lazima utabadilika angalau kiasi kwa kuwa sasa NANDO haongei sana na mara nyingi alipo NANDO na SELLY yupo kuanzia kwenye kikundi chao cha HAKEEM,BEMP,NANDO,BEVERY,CLEO,ANNABEL na SELLY na kumfanya MELVIN anakuwa pamoja na DILLISH na MARIA !Full mapenzi! Feza na oneal,Nando na Selly,Hakeem na cleo ..... na kila mmoja wao alisema ana mtu uko alipotoka je wamejisahau au ni mazingira ya kukaa ndani yanawafanya hivyo.