naombeni msaada kwa wale wanaoijua BBAWITH EDUCATION ya pale st john's universty
pindi unapofika muda wa kuspecialize(semister ya pili mwaka wa2) ambapo kuna electives kama
*human resources
*hearth services managemnt
*accounting
*finance
*accounting and finance
*marketing
*IT
je wale jamaa wa bba with education wenyewe wataspecialize kwenye hizo hizo electives au wenyewe wanayakwao?
year 2 semister ya 1
*econometrics
*quantitative techniques fo business1
*cost account1
*enterpreneurship
*debating skill2
*management information system1
*multimedia presentation
*curriculum development
*education guidance and counseling(bba with education)