Leo jioni katika matangazo yao, wamerusha kipindi kinachozungumzia matukio muhimu ya 2024 hapa Tanzania. Katika matukio ya kisiasa wamekwepa kabisa
kuzungumzia kilichtokea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa! Hivi kweli unaweza kuzungumzia hali ya kisiasa Tanganyika 2024 bila kugusia hilo? Nimeamini chawa wana nguvu na ushawishi mkubwa na wametapakaa sana