huku ni kuingilia editorial independence ya BBC, wengine wana discuss serious things only na sio maigizo!,unataka kuwalazimisha BBC kujadili maigizo?。Leo jioni katika matangazo yao, wamerusha kipindi kinachozungumzia matukio muhimu ya 2024 hapa Tanzania. Katika matukio ya kisiasa wamekwepa kabisa
kuzungumzia kilichtokea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa! Hivi kweli unaweza kuzungumzia hali ya kisiasa Tanganyika 2024 bila kugusia hilo? Nimeamini chawa wana nguvu na ushawishi mkubwa na wametapakaa sana
Wewe hufuatilii BBC wanarusha matangazo mara kwa mara ya kuwatetea wapinzani kuna kipindi mpaka nikawa siangalii kwa sababu mambo mazuri anayofanya Rais wetu hawaonyeshi ila mambo ya upinzani ndiyo wako mstari wa mbeleLeo jioni katika matangazo yao, wamerusha kipindi kinachozungumzia matukio muhimu ya 2024 hapa Tanzania. Katika matukio ya kisiasa wamekwepa kabisa
kuzungumzia kilichtokea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa! Hivi kweli unaweza kuzungumzia hali ya kisiasa Tanganyika 2024 bila kugusia hilo? Nimeamini chawa wana nguvu na ushawishi mkubwa na wametapakaa sana
Kumbe uchaguzi wa serikali za mitaa ulikuwa ni maigizo?kama ilikuwa ni maigizo basi uchaguzi urudiwehuku ni kuingilia editorial independence ya BBC, wengine wana discuss serious things only na sio maigizo!,unataka kuwalazimisha BBC kujadili maigizo?。
P
Nina mashaka na vyuo mnavyopitia, editorial independence haipaswi kuwa editorial ignorancehuku ni kuingilia editorial independence ya BBC, wengine wana discuss serious things only na sio maigizo!,unataka kuwalazimisha BBC kujadili maigizo?。
P
Labda hiyo inasikika huko kwenu tuWewe hufuatilii BBC wanarusha matangazo mara kwa mara ya kuwatetea wapinzani kuna kipindi mpaka nikawa siangalii kwa sababu mambo mazuri anayofanya Rais wetu hawaonyeshi ila mambo ya upinzani ndiyo wako mstari wa mbele
Upo sahihi bwana "NJAA" Tanzania hamna uchaguzi ni MAIGIZO, sio vema kujadiri MAIGIZO 🤔🤔huku ni kuingilia editorial independence ya BBC, wengine wana discuss serious things only na sio maigizo!,unataka kuwalazimisha BBC kujadili maigizo?。
P
Jamaa analeta journalism's phrase, but hakuna LOGIC yoyote katika alichojibu 😅😅.Nina mashaka na vyuo mnavyopitia, editorial independence haipaswi kuwa editorial ignorance
Yah huku kwetu malindindoLabda hiyo inasikika huko kwenu tu