#COVID19 BBC na Corona: Kenya tayari ina deni la $ 1.5 bilion za Marekani, Tanzania haina deni lolote hadi sasa

#COVID19 BBC na Corona: Kenya tayari ina deni la $ 1.5 bilion za Marekani, Tanzania haina deni lolote hadi sasa

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
BBC Dira ya Dunia imefanya tathmini ya mikopo waliyopewa nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki ili kukabiliana na janga la Corona ikiwemo uhifadhi na usafirishaji salama wa chanjo.

BBC imegundua kuwa Kenya na Rwanda ndio zimepewa mikopo mikubwa na nchi wahisani na hivyo kuwaongezea kwa kiasi kikubwa deni la taifa.

Kwa mujibu wa BBC hadi sasa Tanzania ndio nchi pekee isiyodaiwa mkopo wa Corona popote pale duniani.

Source: BBC Dira ya Dunia

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Hapo ndio uone Kuna shida mahali
Maskini wee kumbe ndio maana wanalazimisha media zitangaze "Wana wagonjwa wengi wa uviko" ila camera zinashindwa kuingia mawodini na kutuonyesha waliolazwa! Aibu yenu Kenya!
 
Usiwaamini hao BBC Swahili ni WAKURUPUKAJI
Ulitolewa na nani? Lini?!!!


Ufafanuzi Tafadhali.
 
Back
Top Bottom