#COVID19 BBC na Corona: Kenya tayari ina deni la $ 1.5 bilion za Marekani, Tanzania haina deni lolote hadi sasa


Hivi mkopo sio deni?? "Serikali ya Tanzania imepata mkopo wa Trillion 1.2 kwa ajili ya kupambana na corona."
 
Takwimu zetu tunazijua wenyewe
 
Tushapewa trilion 1.3 muda sio mrefu...
 
Twambie watu wangapi tulizika usiku na watu wangapi Kenya ilizika usiku ili tulinganishe thamani yake vizuri.
Katika hao waliozikwa usiku yupo ndugu yako hata mmoja alizikwa miongoni mwao...??
Kama hayupo basi tambua hy kuzikana usiku yawezekana unaisema ww mwenyewe.
Binafsi hmn ndugu yang au mtu wng wa karb alizikwa usiku..
 
Na hii J&J walioleta tumechanja laki 3. Na kama walitukopesha basi iliyobaki tunarudisha maana vijana walimwambia mama 'tunachanjwi'.
 
Hiyo mikopo ya corona ni msaada wa kiuchumi wenye masharti nafuu,Tzn tumechelewa Sana kuuupata ndio maana wenzetu wamepewa mara mbili mbili kwa sababu ni nafuu kuliko kukopa kwenye benki za kibiashara.
 
1.2T imeingia leo hilo deni zito atiii au unataka nini zaidi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…