Hilo linafahamika sanaVita vya Syria ni vigumu kuvielewa kwa lens rahisi!
Kumbuka US, IRAN, ASSAD KURDS, walipigani upande mmoja dhidi ya ISS!
ISS walienda wapi baada ya vita?
Ndio hao wamerudi kwa jina la HTS! This time wanaungwa mkono na US na Turkey !
Amini kama waasi watamuondoa Assad, hao waasi hawawezi kuongoza!
Geopolitics ni ngumu kuzielewa! Hakuna Usuni na Ushia hapo!
Ukristo AMANI, Uislamu VITA, hivi vijamaa ni vikorofi sanaView attachment 3171561
Wakati Kiongozi wa kiroho wa katoliki akielekeza uzinduzi wa kanisa la Notre Dame akiwa Rome, kiongozi wa dini nyingine anaelekeza wafuasi wake wapigane vita syria akiwa Tehrani.
Hivi kiongozi wa kiroho anawezaje kutoa maelekezo kwa wafuasi wake hezbollah na hamas wapigane vita Syria dhidi ya wafuasi wenzie wa dhehebu tofauti (islamists jihads).