BBC Swahili VS Hinkle, nani yupo sahihi?

BBC Swahili VS Hinkle, nani yupo sahihi?

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Nimesoma makala moja ya bbc swahili ikimponda sana mchambuzi na Twitter maarufu ndugu Hinkle

Hinkle alisema mashambulio ya Hamas ya October 7 yalifanywa na Isreal alikwenda mbali zaidi na kukanusha ukatili wa Hamas wa Oktoba 7, akidai watu waliohudhuria tamasha la Supernova hawakuuawa na wanamgambo wa Hamas bali walijikuta katikati ya mapambano na kuuawa na polisi wa Israel ambao walikuwa wamefunga barabara.
"Hamas haina hatia ya ukatili wa Oktoba 7," inasema tweet ya Hinkle, ambayo bado ipo hadi leo. Makala hio aliandika mwezi sasa.

Bbc swahili ktk uchambuzi wao wakamponda sana huyu.
Leo.vyombo vyote vya habari duniani vinasema helicopter iliouwa ilikuwa ya Isreal. Bbc swahili tupunguzeni ushabiki. Mayahudi yashaingia shimoni yanateketea.
1700419190833.png
 
Back
Top Bottom