BBC Swahili wamekuwaje kuhusu mkataba wa bandari?

vibesen xxx

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2022
Posts
3,187
Reaction score
6,620
Hawa BBC Swahili watakuwa wamepokea nini unadhani nikiwasikiliza online wanakwepa kabisa kujadili Waarabu kuuziwa nchi viongozi.

Najaribu kukumbuka hawa watu walikuwa na ueledi sana kipindi Hayati Magufuli yupo madarakani walihoji bila woga.

Walihoji udhaifu Magufuli kubinya demokrasia.

Lakini sasa wapo kimya na ufisadi unaofanyika kule Tanganyika, nasema bbc kwasababu yeye anakuwa na nafasi zaidi kuliko media za Tanganyika kuripoti hizi habari za Tanganyika kuuzwa.

DW- Swahili ndio kidogo wanamulika hii kashfa ya nchi kuuzwa.

BBC Swahili au tuunge dot kuanzia kwa zoora yonos.
 
Kwani clouds radio one usafi na radio free Africa wanaliongelea ?
 
tupe uthibitisho
Mkuu usihangaike na hyo jamaa....ukiangalia namna anavyotapatapa na uandishi wake unaona kabisa ni mtu ambaye ana msongo wa mawazo kwa namna ambayo kuna maslahi yake yanaenda kubinywa au analipwa kushutumu tu....maana masaa 24 yeye ni kubweka tu....na thread kibao anaanzisha...kwahiyo ni kumpuuza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…