Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
Ebu elewa acha kimuhe muhe kaisikilize habar ndo urudi uchangie ....sasa maneno yote hayo hata habar huijui inasemaje unamuamini mtoa maada wakat nayy Yuko chakaWatapeli sio Barrick ni Magufuli na CCM.
Ndio wanaohadaa watz kwa kuomgo wao huku wakiwaita barrick wanaune.
Viongozi wa ccm wanamakubaliano binafsi na barrick sio kwa manufaa ya nchi bali ya viongozi hao wakuu kabisa wa mihimili. Ndio maana wamekazana kutunga sheria ili waruhusiwe kuvunja katiba ya nchi na wasishitakiwe. Mnadhani hii inamaanisha nn? Hii ndio maana yake halisi.
Tumsaidie Tundu Lissu tuikomboe nchi hii inayoendeshwa kihuni na kilaghai na magufuli na CCM.
Watapeli sio Barrick ni Magufuli na CCM.Ebu elewa acha kimuhe muhe kaisikilize habar ndo urudi uchangie ....sasa maneno yote hayo hata habar huijui inasemaje unamuamini mtoa maada wakat nayy Yuko chaka
Viva chato...Endelea kupopoyoka...
Viva Magu 2020 to 2030