bbc swahili yakosa heshima

Huku sasa twaelekea wapi?masuala ya mh na mkewe sidhani kama ni sahihi kuyaleta humu.
 
Ahaaa haaaa haaaa sasa kama kuna uhuru mbona yule mwanasheria akapotea halafu mkamuua. Kisa anatetea wananchi wanyonge.
Hamtakuwa huru mpaka Raila aingie madarakani.
 
Ahaaa haaaa haaaa sasa kama kuna uhuru mbona yule mwanasheria akapotea halafu mkamuua. Kisa anatetea wananchi wanyonge.
Hamtakuwa huru mpaka Raila aingie madarakani.

Huyo Raila ndiye kila siku analalamika kwamba nchi isirudi kwenye utawala wa mihemuko ya mtu mmoja. Labda awe anafanya hivyo kiunafiki.
Vipi mumemuachia Tundu Lissu, naskia hata neno "uchwara" halitajwi tena hadharani. Hehehe!! Sasa kwa jinsi Waswahili mnapenda kuongea ongea sana, hivi mnaishi vipi sasa, maana mumebanwa na kushurutishwa kubaki kimya muda wote. Naweza penda kuwaona jamaa fulani walikua wanapenda kujikusanya vijiweni na kumjadili Mkwere, sasa huyu hapa hilo kazima. Hajadiliwi, hahojiwi, na hakosolewi.....

Hehehe!! Naipenda nchi yangu, uhuru wetu muhimu sana, tuliupata kwa damu na jasho, hatukupokezwa kiulaini.
 
Tunaposema hapa ni kazi tu hatumaanishi ni kukusanya revenue tu na kupambana na mafisadi bali hata ulinzi na usalama wa nchi.
Vp huko Mandela mmeimarisha ulinzi, maana haipatani na akili kama nchi iko huru halafu wananchi wake wanavamiwa mara mbili ndani ya juma moja.
 
Ndugu hiki kiswahili chako hakijatulia. Bora cha BBC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…