BBC: Tanzania kuingia uchumi mdogo wa kati wajipange, misaada na mikopo nafuu yote itakoma na haitapata misaada kama zamani na upendeleo wa kifedha

Hizo ni porojo tu.

Wakenya wana 10+ years kwenye kundi hilo lakini kipindi cha COVID-19 pekee wamepokea misaada mingi kuliko nchi masikini kibao tu.

Naona hii taarifa kuletwa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu kimewafanya watu,mavi yagonge chupi!
 
Return Of Undertaker,
Hamueleweki, mara mnadai bado tuko daraja lile lile mara misaada itapungua, vijana wa mbowe mna shida sana.
Ukisikia mtu kapigwa mpaka kapata maweru weru anaona nyota ndio hivi.

Kama ulingoni sasa hivi refer anaonyesha vidole unaulizwa hizi ngapi; mbili unasema nne mambo ya kuona double double.
Lumumba mnatuchanganya juzi WB walikuwa mabeberu leo mara mnawaita wakweli.
 
Mbona Kenya wanapokea misaada Kama kawa?hizo Ni porojo tu.
 
Hata kuku wanae wakikua anawadonoa kama sio wake!
 
Ngoja tuenɗelee ƙusuɓiri mazuri ƴajaƴo maana ɓado tuna tajiwa maɓaƴa tu, Mungu iɓariki Tanzania🙏🙏
 
Return Of Undertaker,
Hamueleweki, mara mnadai bado tuko daraja lile lile mara misaada itapungua, vijana wa mbowe mna shida sana.
Yaani uwe unaelewa au usiwe unaelwa. Tuwe hatueleweki au tuwe tunaeleweka, vyovyote vile, hata wewe kwenu kaka yako kama ana uwezo wa kumudu maisha yake misaada fulani utapunguza.. JUST NORMAL LIFE PRINCIPLE.. Lakini yule hohe hahe utampa hadi chumvi au kiberiti...
 
Walioiona Tanzania kuwa inastahili kuingia uchumi wa kati wameona kuwa kwa sasa, ina uwezo wa kufidia pengo la misaada yote hiyo uliyoitaja, ikiwa ni pamoja na kuwa ina uwezo wa kutengeneza kipata kingine cha ziada juu ya misaada hiyo. We unaona uchungu Tanzania kuingia kwenye uchumi wa kati? JPM anaposema kuwa tunatakiwa kuwa donor country huwa unamwelewa, au unadhani ni Siasa? Subiri hadi 2025 utaona kitakachokuwa kimefanyika
 
Kwahiyo unashauri tupambane kurudi daraja la chini ili tuendelee kusaidiwa?
Ujue watu kama hao wana maslaha yao makubwe nchi inapokua kwenye umaskini, maana hiyo misaada anayo zungumzia ndipo anapojipatia na yeye..
 
Kwahiyo afadhali tungebaki kulekule? Haya kesho tutarudi eeeeh. Haya kakojoe ukalale eeeh
 
Kwahiyo unataka tuendelee kuwa kuitwa Nchi maskini ilinradi tusikose misaada, hivi kipi bora kupambana ujitegemee au kuendelea kubweteka ili uwe wa misaada kila siku, wazia siku anayekusaidia akikosa uwezo utaishije
 
Duh....!
Sijaona kwenye hii mada mahali kuna chuki.
Ni hatua nzuri tumeingia, lakini tunatakiwa tujipange sawasawa, kuna vitu tutakosa hivyo tunatakiwa kuchapa kazi zaidi na zaidi.
Tatizo sio mada bali ni mleta mada na kusudio la kuleta hii mada.
 
Nyie watu hamjui nini mnataka,ulichokiandika hapa ni sawa na mtu kuogopa kuwa mkubwa akihofia gharama za kuwa mkubwa,

Nilipokuwa mdogo niliwaza sana nikiwa mkubwa si nitakosa mambo niliyokuwa nayapata nikiwa mdogo mfano kusafiri bure,kuingia bure kwenye viwanja vya burudani nk.

Lakaini wote huu ni upuuzi

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…