BBC : Wakenya wasambaza taarifa ya uongo kuhusu Raisi wa Tanzania

Kwisha habari ya wakenya. Fyeeka, fyeeka, fyekelea mbali.
 
Tunawasaidia
 
Maana yake JPM anawafinya vizuri! Baba endeleza machungu Kwa nyang'au! Hamna kumchekea monkey!
 
Let me advice JPM and Tanzanians in General: A lion does not loose sleep over the bleeting of sheep.
Wakenya wengi wahampendi JPM, wangetaka rais mpuuzi kama kikwete ili waendelee kula shamba la bibi(Tz)
Mta lialia mtachoka, JPM had 2025 na akimaliza ampe waziri mpango ama waziri majaliwa wazalendo sampuli ya jiwe tuu
 
Eti majority ya Wakenya hawajui Rais wa Tz!! Wale jamaa walioanzisha #What_Would_Magufuli_Do na #Magulification kule Twitter walikuwa Wareno?! Au kwa vile mmeona ameanza kupuyanga mnajifanya hamumjui?! Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.
 
ewe mlaji albino toka maeneo ya tandale, majority of kenyans dont care abt ur president..na usinipangie cha ku quote pimbi mkubwa ww
Calm down, brother... Hakuna haja ya ku-panic kwa vitu vidogo kama hivi...
 
Wakenya wengi hawajui Rais wa Tanzania?

Mbwalata...
 
Eti majority ya Wakenya hawajui Rais wa Tz!! Wale jamaa walioanzisha #What_Would_Magufuli_Do na #Magulification kule Twitter walikuwa Wareno?! Au kwa vile mmeona ameanza kupuyanga mnajifanya hamumjui?! Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.
so wakenya wote walishiriki katika hizo hastag za what will sijui nani do? my friend, mi nakwambia ukweli mtupu ila sikulazimishi uniamini...anyway somo lilikuwa simple...do not generalise kenyans...kama kuna baadhi ya wakenya waliofanya makosa haya bas watajwe mara moja...mambo ya kutuambia sijui rais anajulikana wapi nobody even cares
 
Wakenya wengi hawajui Rais wa Tanzania?

Mbwalata...
yep...majority of kenyans dont know and dont care...sijui mbona huwa mnafikiri dunia inawazunguka nyie tuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€mara mmeibiwa mlima...mara sijui mmeibiwa nini... duh! mngalijua ukweli wa mambo
 
ata ndio nami najiuliza...BBC huwa hawaandiki pumba kama haya...huyu alitaka tu uchokozi...mambo ya kutuambia tumewaibia mlima...duh! mlima mzima pia unaweza ukaibiwa?πŸ™„
Kwani wewe huelewi anachosema wewe. Tuliuchukua mkoba tukaenda mlima.Kilimanjaro tukauweka hapo ndani halafu tukaenda kuushusha huko turkana. Sasa mlima wao upo turkana
 
Kwani wewe huelewi anachosema wewe. Tuliuchukua mkoba tukaenda mlima.Kilimanjaro tukauweka hapo ndani halafu tukaenda kuushusha huko turkana. Sasa mlima wao upo turkana
hahahaha....hawa watu huwa wanashangaza sana...yaani mtu anaamka kuja kufungua uzi eti wakenya wameeneza habari flani kuhusu rais au mlima umeibiwa...yaani wakenya hawana mambo muhimu ya kufanya au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…