Nani kakwambia natumia google?kijana mbona hujiamini?bado tu unaendelea kutumia google translate. andika kwa namna inayohitajika. kama hujui mimi natumia simu ya kitochi so vibox vya google translate naviona kaka. aljunuwn funuwn. laa 'ikla laka
mwanazuoni wa mchongo kama kweli wewe ni 'alim usitumie google translate. Unazoa mashabiki kwa taqiyyah na ghishKijana Mimi Uislamu sijaukuta barabarani,nimezaliwa humo nimesoma madrasa Hadi chuo cha Al Azhar University hapo Cairo ,
Mimi nimeukana Uislamu fī jawfi al-masjid (في جوف المسجد) nikiwa katikati ya masheikh, lakini walipokumbana na maswali ya istibṣār (استبصار) wakashindwa, wakatoa jawābāt mu‘āmah (جوابات مُعَامَة) ,
Mimi si mfuasi wa taqlīd al-a‘mā (تقليد الأعمى). Kama uhuru wa fikra ni ukafiri, basi mimi ni kāfirun ‘ārif (كَافِرٌ عَارِف). Abū Jahl alipinga kwa nasaba, mimi napinga kwa burhān wa bayān (برهان وبيان).
Sisi wanazuoni tuna msemo wetu
"lā taqūlū ‘alā Allāh mā lā ta‘lamūn" (لا تقولوا على الله ما لا تعلمون).
text unazo paste hapa jukwaani zinajulikana kaka pole kwa kubainika. Nijibu wewe pale al-azhar ni muhaamil upi?Nani kakwambia natumia google?kijana mbona hujiamini?
Wapo sawa tuView attachment 3335705
Kwa nini wasingeandika ukumbi au hekalu/kanisa/msikiti??
Endelea kujitekenyatext unazo paste hapa jukwaani zinajulikana kaka pole kwa kubainika. Nijibu wewe pale al-azhar ni muhaamil upi?
Endelea kulalamika ,Mimi sitoi Tena ilimu buremwanazuoni wa mchongo kama kweli wewe ni 'alim usitumie google translate. Unazoa mashabiki kwa taqiyyah na ghish
ilimu ndo nini? na bado unajiita umesoma tu, kusoma gani huko na jahala kubwa kama hii unayoionesha hapa jukwaani ilhali hata tamhiyd hujanusa. vipi umechoka kutumia google translate?. anyway turudi kwenye mada ya msingi kuhusu kanisa bado hujatoa hoja zakueleweka mwanazuoni wa mchongo.Endelea kulalamika ,Mimi sitoi Tena ilimu bure
mnajidhalilisha sana, kujifanya munama'alumat kwa matuzi ya google translate. Jamaa ako anadanganya kasoma dini jamiatu al-azhar cairo, akiulizwa kuhusu muhaamil kipindi yupo chuo anakimbia. and still you call this junuwn mwanazuoni. Ushauri wangu kwenu, ni vyema mkatoa hoja nondo kutoka kwenye maandiko kama afanyavyo dada yenu Setfree, yupo makini sana and you'll never find this lady akitumia uongo na ulaghai wakujifanya anamadegree ya elimu ya kiislamu ili kufanikisha mahubiri. Setfree wape vijana wako elimu ili wasikurupukeMkuu heshimu wanazuoni bila kujali tofauti za kiitikadi, mimi nimejifunza mengi kupitia darsa alilolitoa.
Mkuu mimi nimeomba ufafanuzi tu kutoka kwako, mbona unanishambulia hivi! Swali langu ni je majini ni ndugu wa waislamu na ni kweli huwa yanasali misikitini?Mtumwa huna hoja Zaid kuleta hisia na kuonesha akili yako ilivyo ndogo kwa kuangalia picha na kuhitimisha huyu atakuwa muislam.
Pole Sana kwa kukumbatia ukoloni.