BBC wako sahihi kuita jengo la Freemason kanisa?

BBC ni kikundi cha magaidi kwa sasa. Wamepoteza credibility kabisa. Wote idhaa ya Kiswahili na ile ya World Service
 
Hebu stick kwenye hoja nini maana ya neno "kanisa" kulingana na topic iliyopo mezani
 
Hebu stick kwenye hoja nini maana ya neno "kanisa" kulingana na topic iliyopo mezani
Usitafute neno linalo kufurahisha wewe kujengea hoja.

Habari ni ya kutunga, issue sio neno kanisa.

Issue ya msingi hiyo sio habari ya BBC hiyo ndio primary concern.

Sasa kama kuna kanisa hapo au kwenye hiyo picha mimi sijagusia.

Halikadhalika BBC haiwezi andika mambo ya freemanson.

Soma hoja za watu ujibiwe kwa hoja kutokana na msingi wa mchangiaji.

Sio kunilazamisha mambo ambayo sijaongelea.

BBC haiwezi andika habari kama hiyo, huo ndio msingi wa maandishi yangu, thibitisha hiyo ni habari ya bbc.

Sio kuniletea hadithi zingine za kutoka kichwani kwako.
 
Huyu kijana ni kama nati za kuchwa chake huwa zimelegea wakati wote, he/she is a ranting master.
Mwenye nati ambazo zina utata kichwani kwake ni mtu ambae yupo tayari kuandika uongo to fulfil his mental fantasy.

Thibitisha hiyo ni habari ya BBC tuone kichwani ana matatizo.

Wewe ni mental case, I have told you before na kila siku una justify my accusations.

Vinginevyo thibitisha hiyo ni habari ya BBC, or else ni utaahira wako wa kila siku.

Wonder why I think, you are mental case.
 
Utakuwa ni mental case wewe sio bure mzima.

Hivi unajuwa BBC na upholding standard zake.

BBC nakuhakikishia miaka 800 haiwezi andika ujinga kama huo.

We unadhani BBC ni chombo cha mzaha-mzaha kama hivi vyetu vinaweza andika ujinga tu.
Wameandika na kutangaza hivyo
 
Kwa kifupi freemason hawana makanisa wana masonic lodge, ndivyo wanavyoyaita majumba yao ya kukutanikia kufanya mambo yao
 
Kwasababu imani yao na imani ya wanaoingia kanisani zinafanana , huwa wanaabudu miungu isiyoeleweka.
 
BBC walitangaza hivyo,acha ubishi wakati hukusikiliza
 
kanisa ni kusanyiko la waumini wa kikristo, pia majengo wanakokusanyika kwa ajili ya ibada zao huitwa kanisa
Kanisa,msalaba ni maneno ya kiarabu..na hayahusiani na ukristo bali jumba la ibada la wasiokua waislam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…