BBC wako sahihi kuita jengo la Freemason kanisa?

Wamesema hawana kodi ya kulipia pango lao.
Hata kodi ya nyumba huitwa kodi ya pango,pango ni kitu chochote chenye ombwe ndani,hata nyapu ukisoma kamusi utakuta neno pango kwenye tafsir yake
By the way neno kanisa,injili, msalaba ni maneno ya kiarabu
 
Umeshafanya kazi BBC mkuu?
 
freemasonry ni dini kama zilivyo dini zingne,..
Mtafute Altiyan childs youtube,
pia soma kitabu. THE GREATEST DECEPTION CHA JIM SHAW...
 
Umeshafanya kazi BBC mkuu?
Hapana ila naelewa standards requirements za U.K. media na BBC expectations kwa walipa kodi.

Kwa namna habari ilivyoletwa BBC hawawezi kuwa associated nayo miaka 800.

Sasa badała ya kuniletea hadithi ajae, walau aje na facts.

Kujibu meaningless questions nako kunachosha.
 
BBC ni kikundi cha magaidi imeingiliwa na Muslim Brotherhood hata Waingereza wenyewe wanaipiga vita.
pumbaavu unajua kama hata hilo neno kanisa unalolipambania limetoka kwa hao magaidi "كنيسة" {kaniysaH}. wanangu tafuteni jina lingine tu hilo waachieni Freemason au vipi
 
We ni mental case na uraibu wako wa kiingereza
Kuna sababu uwa tunasema kwanini mambo ya msingi yanataka watu wenye akili.

Kwani unadhani wajinga uwa mjajua

Wewe hata hujui ubishani wetu na Yoda ulikuwa wapi. Ilimradi kuna neno kanisa unawaza msikiti na kuleta ujinga wako.

Kumekucha 👋 talk to my hand
 
Huna hoja kaa chini...
Kaanzishe thread yako ya hizo hoja zako...hapa tunaongelea topic moja "

BBC wako sahihi kuita jengo la Freemason kanisa?"​


Link ya BBC

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…