BBC wako sahihi kuita jengo la Freemason kanisa?

Since they have rituals, it's a religion
Ooh I didn't know that 😳
Mimi huwa naona hapa πŸ‡¬πŸ‡§ majengo yanaitwa freemason Hall na sio Church
Kwa hiyo ni sawa likiitwa kanisa ?
Wanaabudu nini hawa
 
Mkuu naona unatumia tafsiri ya kidini au kiimani katika neno kanisa.
wewe unatumia tafsiri ipi boss, maana ninachojua ni kuwa neno kanisa ni neno linalohusiana na mambo ya Imani kwa Mungu.

Kanisa ni mali ya Kristo Yesu Bwana.
 
Vifungu vya kutumwa kwa ajili ya Wana waliopotea wa israel,na kile kisimacho wa nje ya hapo ni mbwa,huvitaki?
 
Jewish temple ni msikiti wa wayahudi, tafsiri ya kwenye biblia na wana mihadhara hutnia sana hii kusema yesu alisali msikitini.
Hekalu ni jumba la mfalme au jumba kubwa la kitajiri kama kasri.
Nini maana ya sinagogi?
 
Na msikiti kwa kingereza?
Mosque,hii ni specifically kwa uislam,lakini ya wahindu,budha,yahudi na kote wanakosujudu ni temple, ndiyo maana synagogue ni jewish temple kwa kiswahili msikiti wa wayahudi, msikiti wa wahindi etc
 
Mosque,hii ni specifically kwa uislam,lakini ya wahindu,budha,yahudi na kote wanakosujudu ni temple, ndiyo maana synagogue ni jewish temple kwa kiswahili msikiti wa wayahudi, msikiti wa wahindi etc
Msikiti wa Freemason
 
Hapa unanichanganya kabisa
Mosque na Temple sio kitu kimoja la sivyo lingetumika neno moja tu kwa sehemu zote za kuabudia
Ndio maana kuna synagogue, Mosque na Temples ambapo wahindi wanatumia zaidi na wengine kama wachina nk
Ni maana 3 tofauti kabisa
Acha nikubali tu yaishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…