gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Unakubali sulubu ni neno la kiarabu,unakataa msalaba si neno la kiarabu...una akili kweli wewe!?..Kijana acha uzushi na utapeli,Tena mbele ya mwanazuoni unadanganya ili upate nini?
si kweli kwamba kanisa, msalaba, sulubu, na Masihi yote ni maneno ya Kiarabu. Hebu tuyachambue moja baada ya nyingine
1. Kanisa
Asili: Neno hili linatokana na Kigiriki ekklesia (ἐκκλησία), ambalo linamaanisha “mkutano” au “jumuiya ya watu waliokusanyika.”
Kupitia Kilatini (ecclesia) na baadaye kwa lugha za Kiafrika kama Kiswahili, likageuka kuwa “kanisa.”
Si neno la Kiarabu.
2. Msalaba
Asili: Linatokana na neno la Kiswahili lenye mzizi wa Kibantu. Ingawa Kiswahili kimeathiriwa na Kiarabu, "msalaba" halina asili ya Kiarabu bali limeundwa kulingana na mfumo wa maneno ya Kibantu (m-wa- / mi-mi-).
Si neno la Kiarabu.
3. Sulubu / Kusulubiwa
Asili: Hili lina uhusiano na Kiarabu. Neno la Kiarabu صَلَبَ (ṣalaba) linamaanisha "kumsulubisha" au "kufunga mtu kwenye msalaba."
Ndiyo, hili lina asili ya Kiarabu.
4. Masihi
Asili: Neno hili linatokana na Kiebrania Mashiach (משיח), likiwa na maana ya “aliyepakwa mafuta.” Kwa Kiarabu, linafanana na al-Masih (المسيح), jina linalotumika kwa Yesu.
Kiswahili kilikichukua kupitia Kiarabu.
Ndiyo, lina uhusiano na Kiarabu lakini asili yake ni Kiebrania.
Kiswahili kimeyapokea kupitia KiarabuUnakubali sulubu ni neno la kiarabu,unakataa msalaba si neno la kiarabu...una akili kweli wewe!?..
We ni chiziKiswahili kimeyapokea kupitia Kiarabu
kwa haya maelezo yako na wewe unajiita mwanazuoni!!?.english - church alafu kiarabu - كنيسةkaniysaH. kilatini - ecclesia. twende sasa lugha zipi hapo zinakaribiana. inasikitisha sana kuona kijijini kwenu wanakuita mwanazuoni.Kijana acha uzushi na utapeli,Tena mbele ya mwanazuoni unadanganya ili upate nini?
si kweli kwamba kanisa, msalaba, sulubu, na Masihi yote ni maneno ya Kiarabu. Hebu tuyachambue moja baada ya nyingine
1. Kanisa
Asili: Neno hili linatokana na Kigiriki ekklesia (ἐκκλησία), ambalo linamaanisha “mkutano” au “jumuiya ya watu waliokusanyika.”
Kupitia Kilatini (ecclesia) na baadaye kwa lugha za Kiafrika kama Kiswahili, likageuka kuwa “kanisa.”
Si neno la Kiarabu.
Hapana. Rejea maana ya kanisa kwenye kamusi sambamba na jumuia ya Freemason.BBC ni kikundi cha magaidi kwa sasa. Wamepoteza credibility kabisa. Wote idhaa ya Kiswahili na ile ya World Service
Kuwa na akili ,asili ya neno ni Kilatinikwa haya maelezo yako na wewe unajiita mwanazuoni!!?.english - church alafu kiarabu - كنيسةkaniysaH. kilatini - ecclesia. twende sasa lugha zipi hapo zinakaribiana. inasikitisha sana kuona kijijini kwenu wanakuita mwanazuoni.
Kuwa na heshima kijana Mimi nina elimu ya dini iliyo ya kina na ya kiwango cha juu, kuliko hata baadhi ya wale wanaojiita masheikh. Nimepata elimu rasmi kutoka taasisi mashuhuri duniani.we jamaa hamis77 acha kutumia google translate. lugha ya kiarabu ipo very complex google translate na talkpal hazijui nahaw, balagha na hata swarf, zitakutia aibu. umeelewa mwanazuoni wa mchongo
haya twende kazi leta mzizi wa neno kanisa kutoka kaniysaH & ecclesia. mwanazuoni wetuKuwa na akili ,asili ya neno ni Kilatini
Kiswahili kimepokea tu kutoka kwa Muarabu
Sisi wanazuoni tunaangalia mzizi ,nyie maamuma mnaangalia mwisho hapa
yan usome al-azhar alafu uje uandike shudu kama hizi ambazo hata tamhiyd au mutawaasitwa huzikuti.enhe tuambie una muhaamil upi?Kuwa na heshima kijana Mimi nina elimu ya dini iliyo ya kina na ya kiwango cha juu, kuliko hata baadhi ya wale wanaojiita masheikh. Nimepata elimu rasmi kutoka taasisi mashuhuri duniani.
Elimu yangu ni kama ifuatavyo
Nimesoma elimu ya dini ya Kiislamu katika ngazi ya juu.
Nimesoma Lugha ya Kiarabu kwa ufasaha, ikiwa ni msingi muhimu wa kuelewa Qur'an na maandiko ya Kiislamu.
Nimesoma elimu ya Fiqh (Sheria za Kiislamu), ambayo ni msingi wa kuelewa halali na haramu katika Uislamu.
Nimesoma elimu ya majini na asili zake, pamoja na athari zake kwa binadamu, kwa mujibu wa mafundisho ya Kiislamu.
Nimepata elimu hizi zote kupitia Chuo Kikuu cha Al-Azhar, moja ya taasisi kongwe na zenye heshima kubwa duniani katika kufundisha elimu ya Kiislamu.
Nyie mnajidili kimaamuma ,Mimi najid kwa uelewa wa juu zaidi yenu
Kujadili na kilaza ,maamuma kama wewe ni kosa la jinaiyan usome al-azhar alafu uje uandike shudu kama hizi ambazo hata tamhiyd au mutawaasitwa huzikuti.enhe tuambie una muhaamil upi?
naona mwanazuoni unataka kukimbia. utajiabisha kwa wakristo wenzako kichaa wewe. usipende kutumia uongo ili kufanikisha ulinganizi wako. i believe bible ipo against uongo katika preaches. wewe umesoma al-azhar ya wapi? ambapo utakuwa Faqih na pia Haafidh, na mihaamil kibao wapi hamis77 wapi kakaKujadili na kilaza ,maamuma kama wewe ni kosa la jinai
Nikisema elimu zenu ndogo ,mnasema nawatukanahaya twende kazi leta mzizi wa neno kanisa kutoka kaniysaH & ecclesia. mwanazuoni wetu
Kijana... kwanza hii ni ni‘matun ‘aẓīmah (نِعْمَةٌ عَظِيمَة) neema kubwa unayopata ya kujadili nami, mwanazuoni wa kiwango cha juu kama vile al-‘ālim al-jalīl (العَالِم الجَلِيل). Wenzio huko mitaani hawajaandikiwa fursa kama hii. Hii ni fursa adh-dhahabiyyah (الفُرْصَة الذَّهَبِيَّة) fursa ya dhahabu inayopasa kuitumia kwa fikra pevu na hoja madhubuti.naona mwanazuoni unataka kukimbia. utajiabisha kwa wakristo wenzako kichaa wewe. usipende kutumia uongo ili kufanikisha ulinganizi wako. i believe bible ipo against uongo katika preaches. wewe umesoma al-azhar ya wapi? ambapo utakuwa Faqih na pia Haafidh, na mihaamil kibao wapi hamis77 wapi kaka
Uelewa wangu wa dini zenu ni wa ghāyah fīl-‘ilm (غاية في العلم) wa kiwango cha juu sana cha kielimu. Mimi sijaishia tu kwenye kuamini bila kufikiri, bali nimechambua, nikahakiki, na nikatathmini kwa mizani ya naẓar ‘aqlī wa burhān shar‘ī (نظر عقلي وبرهان شرعي) hoja ya kiakili na uthibitisho wa kisharia.yan usome al-azhar alafu uje uandike shudu kama hizi ambazo hata tamhiyd au mutawaasitwa huzikuti.enhe tuambie una muhaamil upi?
Kijana Mimi Uislamu sijaukuta barabarani,nimezaliwa humo nimesoma madrasa Hadi chuo cha Al Azhar University hapo Cairo ,naona mwanazuoni unataka kukimbia. utajiabisha kwa wakristo wenzako kichaa wewe. usipende kutumia uongo ili kufanikisha ulinganizi wako. i believe bible ipo against uongo katika preaches. wewe umesoma al-azhar ya wapi? ambapo utakuwa Faqih na pia Haafidh, na mihaamil kibao wapi hamis77 wapi kaka
mwanzilishi wa jengo kanisa ni mgiriki sijui akaliita ecclesia. muarabu akaita kaniysaH japo yeye sio mwanzilishi. mfano mwarabu anaweza asiwe mwanzilishi wa suruali ila neno suruali linatokana na lugha ya kiarabu. Case sio mwanzilish wa jengo bali asili ya neno kanisa. OvaNikisema elim zenu ndogo ,mnasema nawatukana
Hapo ushajiona mjanja basi
Narudia kwa faida ya wengine ,neno Ecclesia sio la kiarabu ni Kigiriki
Usije danganywa Tena
Neno kanisa ,wamatumbi mmelipokea tu kwa hao waarabu ,waarabu wenyew
Wagiriki ndio waanzilishi halisi wa neno kanisa (yaani ekklēsía).
Walatini (Warumi) walilitafsiri kama ecclesia.
Waarabu walilikopa kutoka kwa Wakristo wa zamani na kulifanya kanīsa (كنيسة).
Na Waswahil walokutana na Waarabu na Wakristo walichukua neno hilo kama kanisa.
Kwa hiyo, Wagiriki ndio chanz halisi, si Muarabu wala Mlatini.
Muarabu alilikopa, Mlatin alitafsiri, lakini Mgiriki (Mgiriki) ndiye muanzilishi wa neno hilo.
Sema Asante mwanazuoni kwa ilimu mujarabumwanzilishi wa jengo kanisa ni mgiriki sijui akaliita ecclesia. muarabu akaita kaniysaH japo yeye sio mwanzilishi. mfano mwarabu anaweza asiwe mwanzilishi wa suruali ila neno suruali linatokana na lugha ya kiarabu. Case sio mwanzilish wa jengo bali asili ya neno kanisa. Ova
bado tu unaendelea kutumia google translate. andika kwa namna inayohitajika. kama hujui mimi natumia simu ya kitochi so vibox vya google translate naviona kaka. aljunuwn funuwn. laa 'ikla lakaUelewa wang wa dini zenu ni wa ghāyah fīl-‘ilm(غاية في العلم) wa kiwango cha juu sana cha kielimu. Mimi sijaishia tu kwenye kuamini bila kufikiri, bali nimechambua, nikahakiki, na nikatathmini kwa mizani ya naẓar ‘aqlī wa burhān shar‘ī (نظر عقلي وبرهان شرعي) hoja ya kiakili na uthibitisho wa kisharia.
Wewe sasa, al-ma’mūm (المأموم) — unaoendeshwa tu nyuma ya imamu, huwezi hata kujua kilicho sahihi wala batili. Unayemezeshwa taqlīdiyan ‘amā (تقليديًا عَمًى) kwa ufuataji kipofu usio na fikra, kisha unataka kubishana na Mimi?
Sisi wanazuoni tunasema:
"al-‘ilmū nūrun, wal-jahl ẓulumāt (العِلمُ نورٌ، والجهلُ ظُلُمَاتٌ)" elimu ni nuru, na ujinga ni giza totoro.
Ninaongozwa na fikrah mustanīrah wa baḥth mustamirr (فِكْرَةٌ مُسْتَنِيرَةٌ وبَحْثٌ مُسْتَمِرّ)