GE2025 BBC wamedharau kabisa Uchaguzi wa Tanzania

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Angalau CDM ndio upinzani halisi bongo wengine ni wasindikizaji!!
 
Angalau CDM ndio upinzani halisi bongo wengine ni wasindikizaji!!
 
Samia vs mwajuma🤣 hawa nao wafungiwe
 
Vyombo vya habari vinavyojielewa haviwezi kupoteza mda kuripoti maigizo.
Write your reply...wao inawahusu nini hao bbc?
Ukiwa na maono ya mbali.. Hiyo heading inatosha kukuonyesha wao pia wanajua Hakuna uchaguzi zaidi ya maigizo
Wamebaki kina Millard Ayo
Ilo jambo kinawauma CCM
Tuwapongeze BBC
BBC hawawezi kurusha matamasha ya wasanii wa CCM ile ni media ya kimataifa , tamasha linalofanyika mwaka huu likiongozwa na content creator Samia wameachiwa local media kama kina Millard Ayo ndio waangahaike nalo.
Ukiona wako kimya ujue maslahi yao hayajaguswa. Hivi mmeona wakimsema vibaya Samia au utekaji uliotokea, kama walivyomsema Magu?
 
BBC ni chombo kilichojojijengea "reputation" yake kwa muda mrefu sana na kwa habari mizania ila miaka ya karibuni kimekuwa ni chombo chenye upendeleo "biases" kinashadadia mabaya ya nchi za Kiafrika kuliko mazuri.
Wewe umeuelewa vizuri mchezo.
 
Summarise basi.
Anyway BBC hawawezi kuzuia CCM kuendelea na uchaguzi wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…