BBC: Wamefunga huduma zao!!??

BBC: Wamefunga huduma zao!!??

lukindo

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2010
Posts
8,466
Reaction score
9,038
Salaams,

Siku za nyuma kulikuwa na huduma za BBC World Service kwenye baadhi ya maeneo ya Tanzania ambazo zilikuwa zikipatikana moja kwa moja masaa 24 bila kupitia redio station zingine kama Redio one, Tumaini nk. Ilikuwa kama sikosei kwenye FM band 101.4 Mhz.

Kuna mwenye kujua kilichotokea? ...kwa maana haipatikani tena hapo na nimesearch kwenye frequency zote bila mafanikio hivyo kulazimika kukosa habari kama hapo awali.

Naomba mnisaidie wana JF kama ipo kwenye frequency mpya tafadhali.

Nawakilisha
 
Mme mtimua Tido sasa mnahaha, ameondoka na wafadhili wake katafuteni wa kwenu
 
classic fm ndo walikuwa wanatangaza hayo matangazo ,wamesitisha kutokana na kupunguziwa ruzuku kw a BBC
 
classic fm ndo walikuwa wanatangaza hayo matangazo ,wamesitisha kutokana na kupunguziwa ruzuku kw a BBC
lo!!!! ...unajua inakuwa shida sana kusikia habari kwenye redio sasa. Maana redio nyingi za hapa coverage yao ya habari sio nzuri sana. Hakuna jinsi basi na kutegemea online radio stations sio 'practical'. Thanks
 
Back
Top Bottom