ivi tido kama dr.slaa au lipumba watashinda, ataenda wapi, atakimbia nchi, manake atakuwa hana kazi. pia, mafisadi watakimbilia wapi...sipati picha.. ni sawa na unakutana na mtu barabarani kipindi mkeo ana mimba, unamtukana na kumpiga vibao kabisa, wiki inayofuata mkeo kashikwa na uchungu unenda hospitali mkeo anahitaji upasuaji, unashangaa yule mtu uliyempiga kibao ndo dr wa mkeo, na ndo atakayefanya kila kitu juu ya mkeo...bila shaka unaweza kujikuta umenyong'onyea kam auyoga uliopigwa na jua....