The Dreamer
JF-Expert Member
- Feb 2, 2009
- 1,282
- 21
Radio fair ni deutsche welle.
naamini wanabaniwa kuingia kwenye kuripoti kwa mapana kwa sababu ccm wanajua hawana mapandikizi mule. ila bbc ambayo TIDO ametokea humo kuna chipukizi kibao ya ccm ambayo yanasubiri kupangiwa kazi na serikali ya ccm.
Kama mnabisha semeni
Wanapatikana kwenye masafa yapi ya FM nipo Dar...
ulikuwa wapi? ...........ndo tunamaliza.Mmeshaanza....
Mmeshaanza....
via redio one 6:00 - 6:30 am/pm (89.5)
Naifuatilia BBC kwa makini tangu jana ila napata wasiwasi kama wapo balanced kwenye habari zao. Wanajifanya kama vile wanachambua wakati wanahitimisha kwa ushabiki. Leo ilikuwa mara ya pili kuwasikia wakihoji watu kwenye mikutano ya CHADEMA kwa lengo la kuonyesha kwamba ile nyomi ipo ipo tu. Mara ya kwanza niliwasikia Karagwe na leo ilikuwa Zanzibar. Anyway, kuhusu Zanzibar haishangazi lakini BBC wanapaswa "Kudeclare Interest". Bado tuna kumbukumbu na Tido Mhando 2005!
Kwani TIdo si katoka huko, nadhani kaacha matawi yake na wengine wanajua wataunga msafara kwenda TBC,Waliobaki BBC Kiswahili wameona CCM inavyowaenzi makada wake kama Tido Mhando alivyoukwaa U-DG hapo TBC na wao wanahisi kwa kuifyagilia CCM huenda neema zikawaangukia lakini mahesabu yao safari hii wameyapiga vibaya...............