Inajulikana wazi kama Kikwete anashinda ,Je unajua kuwa wengi wa wanaohudhuria mikutano ya upinzani hawakujiandikishaa ? Hii ni hasara na ni kosa kwa vyama vya upinzani kutoweza kuwashawishi wananchi katika hekaheka za kujiandikisha ,hasara ndio hii.

Wametangaza katika taarifa Yao ya habari saa 12 asubuhi. Wanadai sababu za ushindi wake ni mafanokio yake katika kukuza uchumi.
Hii inaashiria nchi zinazotunyonya kupitia kinachodaiwa uwekezaji sasa wanahofia Slaa akiingia madarakani itakuwa mwisho wao kuendelea kutunyonya.
May I be the first to Congratulations Kikwete kwa kushinda kwa kishindo:nono::doh:
una ushahidi wewe kwamba hawajajiandikisha? au ndio wale wale walotumwa kuandaa kuiba kura, traitor!!! go to hellInajulikana wazi kama Kikwete anashinda ,Je unajua kuwa wengi wa wanaohudhuria mikutano ya upinzani hawakujiandikishaa ? Hii ni hasara na ni kosa kwa vyama vya upinzani kutoweza kuwashawishi wananchi katika hekaheka za kujiandikisha ,hasara ndio hii.
Yaani maneno matatu ya kiingereza makosa kibao (to congratulations or to congratulate?). Matatizo ya shule za kata!