Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
Wametangaza katika taarifa Yao ya habari saa 12 asubuhi. Wanadai sababu za ushindi wake ni mafanokio yake katika kukuza uchumi.
Hii inaashiria nchi zinazotunyonya kupitia kinachodaiwa uwekezaji sasa wanahofia Slaa akiingia madarakani itakuwa mwisho wao kuendelea kutunyonya.
nami nimewasikia, ila mwishoni huyu mkenya Hasan Mhelela amempiga kidongo kwamba alienda na maswali yake akarudi nayo bila kuuliza!! kwa ujumla, bbc waandishi waloletwa nahisi walipitia kwanza ikulu...
Nalipia parking Hapa kariakoo, jamaa wanasema wamechoka kesho wanafanya kweli. "eti aliulizwa swali na Yule jamaa wa FM halafu anajikanyaga kisha tena anauliza sijui nikujibu nini".
Kila mtu amemchoka Kikwete, ni mafisadi tu na familia zao ndo wanamtaka, nobody else mpaka vijijini hawamtaki kipindi hiki.
Wametangaza katika taarifa Yao ya habari saa 12 asubuhi. Wanadai sababu za ushindi wake ni mafanokio yake katika kukuza uchumi.
Hii inaashiria nchi zinazotunyonya kupitia kinachodaiwa uwekezaji sasa wanahofia Slaa akiingia madarakani itakuwa mwisho wao kuendelea kutunyonya.
Ukweli unauma sio? Kikwete atashinda hata ukilala kwenye kituo cha kupiga kura!
Inajulikana wazi kama Kikwete anashinda ,Je unajua kuwa wengi wa wanaohudhuria mikutano ya upinzani hawakujiandikishaa ? Hii ni hasara na ni kosa kwa vyama vya upinzani kutoweza kuwashawishi wananchi katika hekaheka za kujiandikisha ,hasara ndio hii.
may i be the first to congratulations kikwete kwa kushinda kwa kishindo:nono::doh:
May I be the first to Congratulations Kikwete kwa kushinda kwa kishindo:nono::doh:
Wametangaza katika taarifa Yao ya habari saa 12 asubuhi. Wanadai sababu za ushindi wake ni mafanokio yake katika kukuza uchumi.
Hii inaashiria nchi zinazotunyonya kupitia kinachodaiwa uwekezaji sasa wanahofia Slaa akiingia madarakani itakuwa mwisho wao kuendelea kutunyonya.
Wametangaza katika taarifa Yao ya habari saa 12 asubuhi. Wanadai sababu za ushindi wake ni mafanokio yake katika kukuza uchumi.
Hii inaashiria nchi zinazotunyonya kupitia kinachodaiwa uwekezaji sasa wanahofia Slaa akiingia madarakani itakuwa mwisho wao kuendelea kutunyonya.
Acha maneno matupu! WEWE NDIO UMEMCHOKA, SISI TWAMUONA BONGE LA RAIS.
ULINGANISHO: Mh MLIMA KILIMANJARO, WAKATI MH SLAA NI KICHUGUU.
Interesting, kwa vile BBC World idhaa ya Kiingereza inatangaza kwamba Kikwete ana ushindano mkubwa sana kutoka vyama viwili vya upinzani. Mnadhani ni kwa nini kuna versions hizi mbili tofauti?Wametangaza katika taarifa Yao ya habari saa 12 asubuhi. Wanadai sababu za ushindi wake ni mafanokio yake katika kukuza uchumi.