#COVID19 BBC: Watanzania waliopata chanjo ya COVID-19 ni asilimia 0.6 tu!

#COVID19 BBC: Watanzania waliopata chanjo ya COVID-19 ni asilimia 0.6 tu!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Kwa mujibu wa habari hii iliyo katika tovuti ya BBC, Watanzania waliochanjwa ni asilimia 0.6 tu ya watu wote.

Kujua asilimia za waliochanjwa katika nchi mbalimbali, bonyeza nchi husika kwenye ramani iliyo kwenye taarifa hii na utapata matokeo.

Na dozi za chanjo zilizotolewa ni 350,000!! Kwa hiyo idadi ya waliochanjwa itakuwa pungufu ya hapo maana bila shaka kunawaliokwisha kupata dozi 2.
 
Hici tukichanja wote, ndio korona itakuwa imeisha?
 
Nimeona hapo Burundi ni 0%
Vatcan 0%
Ertrea 0%
Na mataifa mengine kama matano ni 0%
 
Cbanjo ililetwa na CHADEMA?
Si mlikuwa mnamtukana Magu kila siku kwamba kwanini haleti chanjo mchanjwe?

Na Mbowe kabla hajakamatwa kwa ugaidi alisema selikali ifanye chanjo iwe lazima na mkashangilia sana!?

Sasa kwanini mpaka sasa hivi ni watu laki 3 tu ndio wamechanjwa?

Ina maana nyie machadema hapa nchini hamfiki hata nusu milioni? Au mmekubaliana na mtazamo wa hayati Magu?
 
Bashite lala ukue
 
Back
Top Bottom