mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Kati ya hao wabunge ni wangapi? au wanatuhamasisha tu wananchi ila wenyewe hawachanji.Namba hazidanganyi! Hizi hapa kupitia habari BBC!
Covid vaccines: How fast is progress around the world?
Charts and maps tracking the progress of Covid vaccination programmes.www.bbc.com
Kwahiyo hata nyie chadema mmesusia chanjo?Hata hiyo 0.6% ni kubwa sn, kiuhalisia haifiki hiyo
Kuna kiongozi mkubwa juzi amesema 80%Kwa mujibu wa habari hii iliyo katika tovuti ya BBC, Watanzania waliochanjwa ni asilimia 0.6 tu ya watu wote.
Kujua asilimia za waliochanjwa katika nchi mbalimbali, bonyeza nchi husika kwenye ramani iliyo kwenye taarifa hii na utapata matokeo.
Covid vaccines: How fast is progress around the world?
Charts and maps tracking the progress of Covid vaccination programmes.www.bbc.com
Hahaha na wao hawatakiKwahiyo hata nyie chadema mmesusia chanjo?
Si mlikuwa mnalia humu kila siku kwamba mnataka chanjo?
Kwahiyo hata nyie chadema mmesusia chanjo?
Si mlikuwa mnalia humu kila siku kwamba mnataka chanjo?
Kwa mujibu wa habari hii iliyo katika tovuti ya BBC, Watanzania waliochanjwa ni asilimia 0.6 tu ya watu wote.
Kujua asilimia za waliochanjwa katika nchi mbalimbali, bonyeza nchi husika kwenye ramani iliyo kwenye taarifa hii na utapata matokeo.
Covid vaccines: How fast is progress around the world?
Charts and maps tracking the progress of Covid vaccination programmes.www.bbc.com
Si mlikuwa mnamtukana Magu kila siku kwamba kwanini haleti chanjo mchanjwe?Cbanjo ililetwa na CHADEMA?
Bashite lala ukueSi mlikuwa mnamtukana Magu kila siku kwamba kwanini haleti chanjo mchanjwe?
Na Mbowe kabla hajakamatwa kwa ugaidi alisema selikali ifanye chanjo iwe lazima na mkashangilia sana!?
Sasa kwanini mpaka sasa hivi ni watu laki 3 tu ndio wamechanjwa?
Ina maana nyie machadema hapa nchini hamfiki hata nusu milioni? Au mmekubaliana na mtazamo wa hayati Magu?
Mabaicha mna tabu sanaBashite lala ukue
Hata shetani anakumbukwa kila siku.Akumbukwe JPM