white wizard JF-Expert Member Joined May 18, 2011 Posts 8,566 Reaction score 13,770 Oct 6, 2021 #21 mbingunikwetu said: Na dozi za chanjo zilizotolewa ni 350,000!! Kwa hiyo idadi ya waliochanjwa itakuwa pungufu ya hapo maana bila shaka kunawaliokwisha kupata dozi 2. Click to expand... Hadi sasa kwa chanjo zilizoletwa ni 80%zimeshatumika, na kwa chanjo hii iliyopo kwa sasa hakuna dose ya pili, ni moja tu.
mbingunikwetu said: Na dozi za chanjo zilizotolewa ni 350,000!! Kwa hiyo idadi ya waliochanjwa itakuwa pungufu ya hapo maana bila shaka kunawaliokwisha kupata dozi 2. Click to expand... Hadi sasa kwa chanjo zilizoletwa ni 80%zimeshatumika, na kwa chanjo hii iliyopo kwa sasa hakuna dose ya pili, ni moja tu.
white wizard JF-Expert Member Joined May 18, 2011 Posts 8,566 Reaction score 13,770 Oct 6, 2021 #22 ndege JOHN said: Akumbukwe JPM Click to expand... Inategemea akumbukwe kwa yapi!!ila wengi hawatamsahau kwa mateso aliyowasababishia. ILA MUNGU FUNDI.
ndege JOHN said: Akumbukwe JPM Click to expand... Inategemea akumbukwe kwa yapi!!ila wengi hawatamsahau kwa mateso aliyowasababishia. ILA MUNGU FUNDI.
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Oct 6, 2021 #23 Crimea said: Mabaicha mna tabu sana Click to expand... Kama dinging ako