#bbiAppeal do or die

#bbiAppeal do or die

young solicitor

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
1,123
Reaction score
713
Nijadili kidogo kinachoendelea viunga vya Nairobi katika mahakama ya rufani.
Upande wa warufani
Uhuru Kenyata
Raila Odinga
Attorney General
IEABC
Wajibu rufani ni
KLS
Pamoja na wananchi waliofungua kesi ya kikatiba kupinga bbi


Ni mvutano wa kisheria unaokutanisha magwiji wa kisheria Kenya.
Mwisho wa siku mahakama ya rufani wataamua.
Kinachobishaniwa ni mchakato mzima wa BBI ambamo kuna baadhi wanaupinga kwa hoja kwamba haujaanzia kwa wananchi bali mabwana wakibwa uhuru na rao via handshake.
Yetu macho
 
Back
Top Bottom