Bcom in finance UDOM

Joram kiango

Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
82
Reaction score
16
Nimechaguliwa hii programe ila cjui chochote na prospectus ya udom inazingua. Naomba ufafanuzi kuhusu bcom in finance course gani ziko ndani yake, soko la udom kwenye hii programe na ukimaliza unaweza fanya kazi gani. Ahsante.
 
hiyo kozi ni nzuri kidogo, mbaya kiasi, huwezi ajiriwa popote, unaweza ajiriwa mahari fulani, mshahara wake ni kiduchu, waweza lipwa mshahara kila baada ya siku moja na nusu plus dakika tatu point nne minus sifuri point yero.....VP UMEELEWA MKUU?
 
ua so stupid.
 
Dah mkuu taifa linajengwa na mtanzania kama wewe.kwa mwendo huu unabomoa taifa...huyu ni kijana wetu anaitaji ushauri mzuri
 
Ni kozi ya kawaida ya biashara. Kazi ni naeneo ya bank.credit officers.popote wanapohitaji finance officer etc. Ukijichanganya ukaenda interview ya accountant watakuadhiri. Kazi zipo ila hazitoki mara kwa mara.
Ungeweza kubadili ungechukua finance and banking au economics and finance etc
 
Nimechaguliwa hii programe ila cjui chochote na prospectus ya udom inazingua. Naomba ufafanuzi kuhusu bcom in finance course gani ziko ndani yake, soko la udom kwenye hii programe na ukimaliza unaweza fanya kazi gani. Ahsante.

duuh ww n resiters au qt, au ndo 10 round ya tcu, mbna cc tumeshaanza kusoma bumu la kwanza limeisha na jana tume-sign bumu la pili..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…