Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 8,635 Reaction score 2,205 Nov 12, 2011 #21 Hayo mambo yanafnayika India na Bangladesh, sidhani kama hapa kwetu kuna huo mchezo. Hawana haja ya kutumia hayo madawa. Watu walivyokuwa wavivu wa kula matunda wanaweza tu kuzulula nazo mpaka zinaiva lol.
Hayo mambo yanafnayika India na Bangladesh, sidhani kama hapa kwetu kuna huo mchezo. Hawana haja ya kutumia hayo madawa. Watu walivyokuwa wavivu wa kula matunda wanaweza tu kuzulula nazo mpaka zinaiva lol.