Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Wana hela ya kula tuuu,ebu mcheki brayan william aka birdman #1 stunna ana buggati kanunua usd 2mils ana maybach kanunua 1.5mils usd,hao kina y.jeezy na ross wana mipunga ya kawaida tu kama ya kina weezy khlifa na bow wow tu,wenye long money kina diddy,50cent(filisehn),jigga etc
una uhakika na unayosema ?
One hundred for shizzle.
Jamani msifatilie forbes drug dealer hela zake haziingizwi kwenye forbes
Wana hela ya kula tuuu,ebu mcheki brayan william aka birdman #1 stunna ana buggati kanunua usd 2mils ana maybach kanunua 1.5mils usd,hao kina y.jeezy na ross wana mipunga ya kawaida tu kama ya kina weezy khlifa na bow wow tu,wenye long money kina diddy,50cent(filisehn),jigga etc
wewe ujajua,forbes cash king wanatoa aliongiza pesa nyingi kwa mwaka fulani,unaposema birdman ayupo kwenye top five,ina maana kwa huo mwaka lakin kiujumla birdman anatisha kwa mkwanja anakadiriwa kuwa na kama 500 million USD
Nahisi unaongea kwa hisia zaidi na si ukweli, jay zee ana ela zaidi ya huyo birdman. Kutokana na jarida ya forbes hii ndo list yao
#1 .Sean Diddy Combs Net Worth: $500 million
#2. Shawn Jay-Z Carter Net Worth: $450 million
#3. Andre Dr. Dre Young Net Worth: $250 million
#4. Bryan Birdman Williams Net Worth: $110 million.
#5.Curtis 50 Cent Jackson Net Worth: $100 million
Hiyo ndiyo top five yao according to forbes 2011/2012 sasa wewe sijui hizo habari umezitoa wapi????
au kipimo cha utajiri kwako ni magari mheshimiwa?
Jamani msifatilie forbes drug dealer hela zake haziingizwi kwenye forbes
Mkuu haujanielewa vizuri nadhani,,,nimesema ross na young jeezy wana mipunga ya kawaida tu kama mipunga ya kina weezy khalifa na bow wow,nikamwambia kama ross na jeezy wana mipunga,je birdman(#1 stunna) utasema ana nini? Nikamwambia wenye hela ndefu ni kina diddy,50cent,jay-z etc,hakuna statement niliyosema kwamba birdman ana hela kuwazidi kina diddy.