T_Dangote Member Joined Apr 23, 2019 Posts 23 Reaction score 28 Jul 5, 2019 #1 Pombe sitanywea Nyumbani tena, Jana Nimenywea Nyumbani nikampa sim wife nikamwambia Save number kesho ntakupigia !!
Pombe sitanywea Nyumbani tena, Jana Nimenywea Nyumbani nikampa sim wife nikamwambia Save number kesho ntakupigia !!
Y Yuyo Ahumile Shamalendi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2018 Posts 993 Reaction score 785 Jul 5, 2019 #2 Mkuu wewe umetisha! Kwa hiyo kama ana akili atajua kua kumbe ukiendega kupombeka hua unawapa mademu simu waandike namba zao ili uwe unawapigia, mh pombe si chai.
Mkuu wewe umetisha! Kwa hiyo kama ana akili atajua kua kumbe ukiendega kupombeka hua unawapa mademu simu waandike namba zao ili uwe unawapigia, mh pombe si chai.
E Ellynho47 Senior Member Joined Jun 5, 2019 Posts 119 Reaction score 80 Jul 6, 2019 #3 ulikunywa kangara hiyo