Naombeni mnijuze ninyi wakazi wa dar, nataka kununua Gari Japani kupitia Be forward, Je hilo tawi la dar es salaam linaweza kunifanyia clearing nikaipata gari? Itachukua siku ngapi mpaka gar iwe mikononi mwangu. Je gharama zao kwa gari ndogo kama toyota Brevis inakadiriwa kufika shilingi ngapi? Nijuzeni tafadhali