mkuu ushauri wako, gari gani nzuri ya mwaka 2015 kwenda juu ambayo gharama ya manunuzi iko chini sana, ili niombee msamaha wa kodi.Mnapiulizia gari tajwni na Miaka ya kutengenezwa Kwa gari Hilo mfano toyota IST 2002
Kumbuka magari yote ambayo ni new model gharama inakuwa juu pia na Yale ambayo year of manufacturing ni ya karibu mfano 2025 gharama zake huwa juu kuanzia Bei ya gari Kodi bima usafirishaii na gharama zingine
Kwa kusaidiana ni Vizur ukaniambia una sh ngapi na unataka gari Gani ili nijue nazingatia nn na ninakupatia gari zuri
Ukiachana na tra kuna gharama zingine hususani Toka TBS TPA TIRA NA clearance and forwarding agent ambayo huwa ni 250000Gari ikishafika bongo baada ya kulipia kodi za TRA,gharama zipi nyingine zinakuwepo na ni kiasi gani,hebu ziweke wazi zote hapa tujue gharama halisi ya uagizaji
Unataka isizidi sh ngapi yaani weka maximum ya bajeti Yako na Toka kampuni Gani ili niweze Fanya researchmkuu ushauri wako, gari gani nzuri ya mwaka 2015 kwenda juu ambayo gharama ya manunuzi iko chini sana, ili niombee msamaha wa kodi.
Toyota au Subaru, 8m - 10m kama inawezekana.Unataka isizidi sh ngapi yaani weka maximum ya bajeti Yako na Toka kampuni Gani ili niweze Fanya research
Kuna jamaa namuona Tiktok huko anajiita Rakim anatumia magari watu from China Bei chee kweli, dola, 1600 gari nzuri sana. Nini kinaongeza gjarama kwa hizi gari zenu za ne forward?Unataka isizidi sh ngapi yaani weka maximum ya bajeti Yako na Toka kampuni Gani ili niweze Fanya research
Inatokana na gari ambalo umechagua mfano magari ambayo nimeulizwa yote ni ya gharama kubwa ingawa magari ya Bei ndogo yapo na nitauapost hv pundeKuna jamaa namuona Tiktok huko anajiita Rakim anatumia magari watu from China Bei chee kweli, dola, 1600 gari nzuri sana. Nini kinaongeza gjarama kwa hizi gari zenu za ne forward?
Inawezekana jamaa anatangaza gari Kwa Bei ndogo lkn hajajumuisha Bei pindi utakapoanza makubaliano naye ndioo unapoanza kuziona gharama zingineKuna jamaa namuona Tiktok huko anajiita Rakim anatumia magari watu from China Bei chee kweli, dola, 1600 gari nzuri sana. Nini kinaongeza gjarama kwa hizi gari zenu za ne forward?
Ndio nataka kuzijua hzo zingine mbali na ya agentUkiachana na tra kuna gharama zingine hususani Toka TBS TPA TIRA NA clearance and forwarding agent ambayo huwa ni 250000
Mkuu SI ndio hizo hapoNdio nataka kuzijua hzo zingine mbali na ya agent
MAZDA CX 5mkuu ushauri wako, gari gani nzuri ya mwaka 2015 kwenda juu ambayo gharama ya manunuzi iko chini sana, ili niombee msamaha wa kodi.
Ist 20.5m??????TOYOTA IST
MODEL NSP 60
Year of manufacture 2004
FUel type petrol
Engine capacity 1000cc-1500cc
Country of origin Japan
Price 20,500,000
hii mazda bila ushuru bei gani mkuu?MAZDA CX 5
PRICE INCLUDING ALL COSTS 33M
YEAR OF MANUFACTURING 2016
Hyo ist ni sh ngapi....apo kweny picMkuu kametoka nje maana Kodi ni kubwa