Be forward special thread karibu uagize magari Toka nje ya nchi

mkuu nikitafuta hii pesa, inawezekana tukaagiza hii gari kwa kuprocess msahama wa kodi? au kuna gharama za ziada?
Gharama za ziada zipo hiyo ni Bei halis Bado Kodi na no lazima kulipa Kodi kama unajuta kuna njian za kukwepa Kodi ambazo ni halali sawa lkn huwa napost nikiwa nimeunganisha na Kodi makusud
 
Gari ikishafika bongo baada ya kulipia kodi za TRA,gharama zipi nyingine zinakuwepo na ni kiasi gani,hebu ziweke wazi zote hapa tujue gharama halisi ya uagizaji
Mfano gari ni Toyota harrier
Bei halisi ya gari ni million 17
Tra 15 million
Tanzania port authority fees 800,000
Clearance and forwarding agent sh 250,000
Bima 118000
Mkuu hey ni Kwa uchache approximately 33M
 
Gharama za ziada zipo hiyo ni Bei halis Bado Kodi na no lazima kulipa Kodi kama unajuta kuna njian za kukwepa Kodi ambazo ni halali sawa lkn huwa napost nikiwa nimeunganisha na Kodi makusud
Mkuu, mimi naongelea msahama wa kodi ambao upo kisheria kwa mtumishi wa Uma, sitaki wizi.
 
Mfano gari ni Toyota harrier
Bei halisi ya gari ni million 17
Tra 15 million
Tanzania port authority fees 800,000
Clearance and forwarding agent sh 250,000
Bima 118000
Mkuu hey ni Kwa uchache approximately 33M
Thanks mkuu,kumbe port charges ni kamzigo pia
 
TOYOTA vanguard
2009
ACA33
petrol
2001-2500cc
Price 37M
 

Attachments

  • BY021354_5690a1.jpeg
    6.6 KB · Views: 22
  • BY021354_ffb6ac.jpeg
    7.4 KB · Views: 24
  • BY021354_26c41a.jpeg
    6.6 KB · Views: 27
  • BY021354_7f0a21.jpeg
    6.9 KB · Views: 30
  • BY021354_986cc9.jpeg
    6.4 KB · Views: 24
TOYOTA AQUA NHP 60
19.8M
 

Attachments

  • BY021354_ffb6ac.jpeg
    7.4 KB · Views: 28
  • BY021354_5690a1.jpeg
    6.6 KB · Views: 28
  • BY021354_26c41a.jpeg
    6.6 KB · Views: 26
  • BY021354_db0650.jpeg
    7.4 KB · Views: 22
  • BY021354_7f0a21.jpeg
    6.9 KB · Views: 25
TOYOTA AQUA NHP 60
19.8M
 

Attachments

  • BX647704_a19ce0.jpeg
    7.8 KB · Views: 28
  • BX647704_4d8539.jpeg
    7.1 KB · Views: 31
  • BX647704_5299e2.jpeg
    7.3 KB · Views: 23
  • BX647704_efd5a1.jpeg
    7.6 KB · Views: 28
  • BX647704_6f953f.jpeg
    7.5 KB · Views: 31
TOYOTA AQUA NHP 10
PRICE 23M
 

Attachments

  • BX636111_6aecad.jpeg
    8.6 KB · Views: 27
  • BX636111_52176c.jpeg
    7.9 KB · Views: 30
  • BX636111_faf4f1.jpeg
    6.6 KB · Views: 24
  • BX636111_14a5ae.jpeg
    8.2 KB · Views: 22
  • BX636111_de201b.jpeg
    8.4 KB · Views: 24
Zipo hususani IST Subaru Forester na Mazda CX-5 pkn hapo ni Bado Kodi ko kukiwa na Kodi approximately ni million 18+
Mkuu kama hautojali naomba nioneshe forester ambayo haizidi 11.5M
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…