Ili upate msamaha wa kodi gari lazima iwe ya mwaka 2017 na kuendelea. (Chukua mwaka wa sasa kurudi miaka 8 nyuma)mkuu ushauri wako, gari gani nzuri ya mwaka 2015 kwenda juu ambayo gharama ya manunuzi iko chini sana, ili niombee msamaha wa kodi.
Jamani ninaona malalamoko ni mengi hususani kwenye Bei bmuda sio mrefu nitaanza kupost magari pasipob kujumlisha Kodi maana kinachofanya Bei kupanda ni Kodi
No sio kuwapiga gharama za clearance and forwarding zipo separately na gharama za tra lkn hata pia gharama za bandariMkuu unataka kutupiga? Gari ikifikia hatua ya kufanya usajili TRA hayo mambo yote yanakuwa yameshafanyika. Yaani unaniambia utanilipia usajili na bima halafu tena unanirudisha nyuma bandarini nikalipie tena clearing agent? Wakati gari unakuwa umeshaitoa?
Kaka hizi ni Kodi za tra pekee kwenye gari aina ya Nissan x trail 2017 Bado Bei halisi ya gariNo sio kuwapiga gharama za clearance and forwarding zipo separately na gharama za tra lkn hata pia gharama za bandari
Soon nakutumia mkeka wa Kodi za tra kwenye ghari aina ya Nissan x trail uone Kodi zake gharama za clearance and forwarding hazijahumuishwa
Reference Number:24254071911Mitsubishi canter ya miaka ya 1995 kubwa ya CC 4500 kuendelea shingapi
sio miaka 10 mkuu?Ili upate msamaha wa kodi gari lazima iwe ya mwaka 2017 na kuendelea. (Chukua mwaka wa sasa kurudi miaka 8 nyuma)
| Reference Number: | 24254067884 |
| Make: | MERCEDES |
| Model: | S CLASS - S400 |
| Body Type: | SEDAN |
| Year of Manufacture: | 2016 |
| Country: | EUROPE |
| Fuel Type: | DIESEL |
| Engine Capacity: Price | 2501 CC & above 65M |