Be like bro Fun Special thread

Intelsat

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Posts
323
Reaction score
532
Wakuu salama kuna hawa jamaa wanajulikana Kama be like bro kwa kweli ni kili niwapo na mawazo basi husogea kutazama post zao na huwa zinafurahisha ntajitahdi kuweka picha ili tuburudike wote wana Jf na Cartoonist huyu mtembelee Facebook kwa kusearch page ya be like bro zipo nyingi ila like ile yenye likes 7+m
 
Dah!!! Mkuu hiyo page "nimeielewa sana" zidi kutuburudisha kwa kutuwekea hapa, ngoja nii subsribe kabisa ili nisiwe napitwa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawa jamaa kila siku ni lazma nipitie pages zao insta na fb..nabaki nacheka na simu
Mkuu uwe una vichukua na kutuletea jamvini uku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…