shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,799
- 4,312
Nouma sanaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahaha dah nimekumbuka Mwalimu wetu mmoja wa hesabu alikua haachi kipindi, siku moja matokeo ya Mock yakaja vibaya sana kwenye hesabu, basi watu walipoulizwa sababu wakasema mwalimu anaingia sana darasani apunguze.Hahaha![]()
PoaMkuu uwe una vichukua na kutuletea jamvini uku
Hahaha hahaha hahaha jamani hurumieni mbafu sangu. ..Ahahahaha dah nimekumbuka Mwalimu wetu mmoja wa hesabu alikua haachi kipindi, siku moja matokeo ya Mock yakaja vibaya sana kwenye hesabu, basi watu walipoulizwa sababu wakasema mwalimu anaingia sana darasani apunguze.