Paul Kijoka
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 1,399
- 255
Ndugu zangu wana jamii forum, kuna kitabu nimesoma chenye title hapo
juu,nafikiri kinagusa mambo yanayoendelea kwenye jamii yetu.maonaje mkisome kisha tukijadili kwenye thred?kinapatikana Salamanda bookshop Samora Avenue na Sumi bookshop Survey.
mtunzi ni ww?
afu una swaga za ualimu pia...like ..kesho kutakua na test kamsomen sana aristoto na socrates nenden flow ya pil kuna vtabu nimeviweka braaaaaaa braaaaa braaaaa....tokazako ebu tumia jukwaa la matangazo kutangaza kitabu chako uko ndo utajifaragua vya kutosha na wateja utawapata ....BT THANK U ...i wl buy t...
Rose acha utani. Unajua wewe umezaliwa mwaka wa neema 1980 eh, alafu avatar yako inaonekana kitakufaa. Acha kuwachukia Walimu lkn pia na kuwaona kama watu wa kupiga huu saaanaaaa. We kisome tu.
Mbona kama unakipigia chapuo kidzaini flan kavip c utudropishie hiyo story.
Mtunzi sio mimi ila kitabu ni kizuri sana. we kipate kwanza utaniambia
point of crctn braza;
1.siwachukii walimu nawapenda sana cz wamenisaidia kunitoa kwenye ujinga
2.sjazaliwa 1980 nimezaliwa 19.........
3.avatar yangu na kitabu inauhusiano gan babu wewe?
4.ukiniletea ntakisoma...ninunulie kaka....
my concern is;KATUMIA MBINU DUNI KWENYE KUKITANGAZA KITABU.
Nawasilisha