PreGE2025 LGE2024 Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa. CCM Amekomba Almost Everything!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Duh kumbe mtu akizeeka kama alikuwa mpuuzi kijana bado upuuzi wake anazeeka nao.
 
, naomba niwe wa kwanza, kuwajulisha wana JF wenzangu, ili kuwapa ile JF advantage ya wewe kama Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio mshindi wa jumla wa Uchaguzi Mkuu wa 2025
Mungu Ibariki Tanzania

Paskali

ila kuingia kwenye uchaguzi huku ukijua mshindi ni nani kidogo inaleta ukakasi.
Ni kweli!
P
 
Nilipokuona huna hekima baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 kuja na post kusifia CCM kwa ushindi. Sikutegemea mzalendo mwenye mapenzi na nchi yake kuandika upuuzi ule.

ACHA UCHAWA it's not a smart thing for you
Mkuu Kensa,@cencer09, JF ilipoanzishwa,ilidhamiriwa iwe ni a home of ma GT,watu wenye viwango fulani vya uelewa,mimi zaidi ya kuandika humu jf,naandikia magazeti kadhaa na mitandao ya kijamii, baadhi ya mada zangu ni mada za fasihi,hivyo ukinisoma,nisome huku unashirikisha bongo yako,ukinisoma kama gazeti,utaishia kuniona chawa!。Mimi sio chawa,sijawahi kuwa chawa,na sitawahi kuwa chawa!。
P
 
P mimi najua kwa wakati huu iwe iweje lazima ujitenge na huo uhayawani kwani kituo kinachofuata ni pasi kiwango cha mazulia ya pamba kwa chawa na washirika wao,hivyo ni bora kukoma na kujitenga kabisa na hizo mambo.Japo mchango wako siubezi japo chawa wauza ubongo huenda unawachochea kwenye uchawa kipofu zaidi ya wanaoelewa fasihi unayojiteteaamoo!
 
kusifia ushindi ulioambatana na dhuluma ya wazi --- ni jambo la kushangaza
 
nakuomba be honest,hili ni bandiko la kichawa?。
P
 
Paskali kumbuka enzi za Magufuli uliwahi kutoa nyuzi ukitaka tumtetee kwa tuhuma za uongo kutoka nchi za magharibi, na wote tunajua jinsi alivyokuwa.

Unaweza ukajiona GT hata maswali yako ulipokuwa unamuuliza TL kuhusu no reform no election kwenye ule mkutano inaonyesha mwelekeo wako, akajisubmit kwa mama na kwamba ni msikivu, je unaweza kutuaminisha chura kiziwi ni msikivu?

Paskali nimefuatilia post zako nyingi for over a century, na unajulikana ni kada, unaweza kutumia satires kufikisha ujumbe wako lakini bado hutendei haki those who are suffering in the hands of oppressor unaowapamba kwa lugha ya satiric. Kuprove wengi sasa jf wamebadilisha mtazamo kuhusu wewe,soma majority ya comments.

You are either one of them (oppressors)or unapingana nao, ninaweza nikawa siyo GT lakini at least naweza kumgundua mccm na msimamo wake baada ya kumfuatilia kwa zaidi ya muongo mmoja.

Itikadi aside I was one of your fan ndio maana nimefikia that conclusion that you are one of them or unalinda uhai na ugali wako. All in all no love lost brother maana baba yangu alipenda kuniita Mihayo
 
kusifia ushindi ulioambatana na dhuluma ya wazi --- ni jambo la kushangaza
Mimi ni mwandishi mwanafasihi ,ukigundua hadhira yako inataka habari za Simba na Yanga,kama una jambo lako,lipitishie Simba na Yanga!。

Ukimjua mlengwa anapenda sifa,anapenda kusifiwa,na anawakubali machawa,ili kufikishia ujumbe,msifie,jifanye chawa,fikisha ujumbe wako!。 Je ujumbe wa bandiko hili umeuona?。
P
 
Reactions: Lax
Amini usiamini JPM,JF ilimsaidia sana!na huyu Mama jf inamsaidia sana,na msaada mkubwa sio mabandiko ya kichawa ni spana Kumuenzi Magufuli: Tujikumbushe 'spana' za JF zilivyomsaidia Hayati Magufuli na Taifa. Je, Samia pia tumsaidie kwa 'spana' au tumkune tu tusimpare?
P
 
Huyu mama umeshawahi kumpiga spana au zile za satires ambazo umezipooza kwanza? Maana unatumia jina lako halisi
karibu
  1. Dada Mkubwa tunakupenda na tunakukubali, kama ni wewe, ni wewe tu, hakuna mwingine! Usiruhusu uhuni huu, fuata Katiba na the due process, utabarikiwa
  2. Kuna Kitu Rais Samia Amekisema Kuhusu Kurejea Kizimkazi “Post 2025”. Nashauri na Nasisitiza Wenye Uwezo Kusaidia, Tumsaidie Kumshauri Ukweli!
  3. Inawezekana ni Kiburi na Jeuri or Real Busy? Wasaidizi wake hawajamwambia ukweli wa ubatili wa Katiba na Sheria ya Uchaguzi?,Tufanye nini kupata Haki?
  4. Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
  5. Ombi kwa Rais Samia, tunakushukuru kwa mahubiri mazuri kuhusu haki, tunakuomba utende unachohubiri yasibaki kuwa maneno tuu lakini vitendo ni tofauti
  6. Mama don't preach. I think we've had enough of Preaching about law, justice & human rights. Would you Please just Practice what you Preach?
  7. Rais Samia ana uwezo kuimarisha Muungano kwa Serikali, Moja muda uliopo unatosha kabisa kufanya Minimum Reforms. Anachohitaji ni utashi wa Kisiasa Tuu
  8. Pre GE2025 - Je, Wajua bila minimum Reforms za Katiba, Uchaguzi Mkuu wote utakuwa ni batili?Sababu,INEC,Katiba ya ZnZ na Sheria Mpya ya Uchaguzi Zote ni Batili
  9. Je, wajua japo Mungu huweka Serikali za Mataifa kuna Serikali/Viongozi wa Mungu na Shetani? Tusiruhusu Ushetani kwa kuchagua mashetani
  10. Japo hakuna ajuaye sababu za kutwaliwa kaka, isipokuwa Mungu, kuna watu saw it coming, wakasema, wakapuuzwa, akatwaliwa. Dada ukisikia usipuuze hili
  11. Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda
  12. Mama, I'm here to support you, to serve our country. I'm here sio tu kuonesha ujuzi wangu kwa nchi yangu, bali pia kuutumia. But...
  13. Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe
  14. Je, wajua Muswada Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani 2023 ni batili? Ni mvinyo wa zamani, kwenye chupa mpya? Why ubatili huu?
P
 
nimekuelwa mkuu --- ila comment hii
nakuomba be honest,hili ni bandiko la kichawa?。
P

imenifanya nikasome uzi upya.


nimekuja kuona na mimi ndo niliyekuwa wa kwanza kucomment kwenye uzi huu.
Na nyinyi ndo waandishi nguli mnakua namna hii

uzi wa mwanzo kabisa haukuwa hivi umejazia content kiasi kwamba sasahivi unaleta maana kiai fulani

ulivoupost mara ya kwanza ilikua mambo ya ajabu


all in all nimekupata mkuu
 
With due respect, tatizo kubwa lililopo sasa hivi nchini ni hali ya usalama wa wakosoaji wa mama na CCM kwenye ulingo wa siasa.

Paskali makala zako ni nzuri lakini they don't Sting them, they read they smile halafu wanasema huyu paskali nae. End of story.

Je unahisi makala hizi zimefanikiwa kuwabadilisha akina chura kiziwi? Vipi na kwa kiasi gani? Maana ndio kwanza Mdude CHADEMA wamempoteza, Lissu wamemzushia kesi na hali ni mbaya.

Kujitanabaisha ukada kunakusaidia kufikisha ujumbe? Usionekane mmoja wao na huyu mwenzetu.
 
Kuna vitu kuhusu uchaguzi wetu hadi amevisema Polepole ndio watu wamefunguka macho!, na kujua kuwa kumbe uchaguzi mkuu wetu ni igizo tuu la uchaguzi!, hivi vitu vilikuwepo na vilikuwa vinafanyika siku zote, na bado tunafanya uchaguzi. Polepole, Asante kwa ukweli wako kuhusu kiini macho cha Uchaguzi. Hoja ya tusishiriki, haina tija tena na Uchaguzi Upo!.
P
 
Hiki kilichotangazwa hapa, kinakwenda kutokea October 29
P
 
Mkuu cencer09 , sasa hii ndio kitu kinachoitwa reality, yaani kuukubali ukweli halisi wa kilichopo, hata kama kina kuuma vipi, huo ndio ukweli, lazima uukubali na kuendelea nao. Hivyo ushauri wangu huo kwa Chadema kukubali matokeo, ndio was the best option na the best way forward.

Kweli hii ni makala ya pongezi kwa CCM kwa ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, ila pongezi hizo zilikuwa zinaandamana na maangalizo!. Je ulifanikiwa kuyaona hayo maangalizo?.
Nitakusaidia...
P
 
Anayeandaa uchaguzi ndiye anayehesabu kura za wale alioridhia wapige kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…