[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahah!, acha tu. Yaani ni nenda rudi mpaka basi.
Aisee haya mengine naomba nisiingilie kabisa maana inaoneka hili chaguo linamhusu mtu.Hahaha!, sawa bwana.
Chaguo jema maana mg! π
Somethings never change,Nalendwa we are in chit-chat right!?.. lemm ask a question. Hivi kuna uhusiano gani wa screenshot na lotta notification showing, sababu huwa naona wengi wanaotuma screenshot lazima uone Notification Bar limechafuka!.
Its just chit-chat blah blah!.π
Nalendwa we are in chit-chat right!?.. lemm ask a question. Hivi kuna uhusiano gani wa screenshot na lotta notification showing, sababu huwa naona wengi wanaotuma screenshot lazima uone Notification Bar limechafuka!.
Its just chit-chat blah blah!.π
Aisee haya mengine naomba nisiingilie kabisa maana inaoneka hili chaguo linamhusu mtu.
Mimi nimesikiliza muziki mzuri tu na kuchukua zangu time.
πππππππ
Hahaha!, huyu dada katisha lakini.
Sio ku Trip kiasi hiki aseh.
Huku ndo kufa na kuoza kabsa kwa ajili ya mtu!.π
kuna uzi mmoja nimepita huko International, pro russian wanazisifia s-300/400 ze kokuyo kaitwa kaishia cheka tu!.. Labda Komredi wake ndio anamtafutia mashambulizi warudi uvamia ππSomethings never change,
Hapo nimeona notifications za Reuters teh teh teh!
komredi Nalendwa lazima alikuwa anakula habari za Syria na Kavanaugh!
Teh! Halafu umeweka See First kwa kila notification!HAHAHAH!, una macho weye...lol!
Sikufikiria kabisa mtu anaweza ona hiyo! π
sasa kuna wengine unakuta tethering hotspot ipo on, sms kawaida, viber, whatsap, Ig,snap, fb, Jf yani vuruvuru mpaka unajiuliza huyu mtu R. Mengi nini!..[emoji23]Teh!, kwa kweli personally mie huwa na delay ku check notifications ndo maana unaona hivyo. Nyingine huwa na save na ku check baadae..
Bora uwe mwanamme. Daadeqi.bora kuwa yupi sasa kati ya hao?
Hahahahaha,
Wewe Nalendwa, naona unataka mimi niongelee mengine nje ya The Good Muzik ulioleta hapa.
Nikianza kuongea hapa yatazaliwa maswali mengi mnoo...Nasikiliza mziki tu
Teh! Halafu umeweka See First kwa kila notification!
Hahahaha aiseeee, wewe ni balaaa.....
Kweli bwana, maana kuna habari huwa zinavunja sana moyo.Afadhali tusikiize mziki tu kwa kweli...LOL! ππ
Hahahaha nimewaona aiseee!kuna uzi mmoja nimepita huko International, pro russian wanazisifia s-300/400 ze kokuyo kaitwa kaishia cheka tu!.. Labda Komredi wake ndio anamtafutia mashambulizi warudi uvamia ππ
kuna uzi mmoja nimepita huko International, pro russian wanazisifia s-300/400 ze kokuyo kaitwa kaishia cheka tu!.. Labda Komredi wake ndio anamtafutia mashambulizi warudi uvamia ππ
Mmekamatika kule siwaoni kurudisha!!.. Na hivi kuna mmoja kaleta comparison ya PAC-3 na S-300 basi ndo mmeufungia milango kabisa ile nyuzi!.. HahahhHahah!, nimeuona huo pia!
Lakini Pro Russia bhana wakianzaga huwa hawamalizi. Naona ze kokuyo huwa anawalia timing tu. Akiingia anayadondosha halafu huyo anasepa..π
Msiempenda kaingia na LibyaπHahah!, ngoja tujipange! π