Siku moja nilinunua mayai pale M'City kumbe yalikuwa yameharibika, na mgao huu wa umeme hali itakuwa mbaya sana.
"I had food poisoning that was really bad. Just realized we bought eggchops on sunday from Royal Bakery at Kawe Road, a number of people were affected as well- 2died and 18 more hospitalized. The place is closed now for investigation I heard. Spread the news to your friends. "
This is frm a person i know who got sick n was admitted. pls be careful people. especially na hivi vyakula vya supermarket.. i mean tanzania bado tunaweza kupata vyakula fresh, tujali afya zetu na maisha yetu jamani, na hawa tbs au tfda wana kazi gani? maana nasikia kuna mayai yanatoka dubai eti na wakati bongo yamejaa.
Si unajua tena kila mmoja anataka kuonekana anakula M/city hahaha! itatutokea puani.Same here,yaani yanatoa harufu kabisa,hata ile bufee yao,kuna vyakula vinakuwa vimeharibika.....yaani mtu ulipe mlo 7000 then upate na ugonjwa wa kutibu wiki..nchi hii jamani,tujipikiege tu home tubebe kazini....l.o.l:laugh::laugh:
Si unajua tena kila mmoja anataka kuonekana anakula M/city hahaha! itatutokea puani.
Si unajua tena kila mmoja anataka kuonekana anakula M/city hahaha! itatutokea puani.
tumeadapt sana mambo ya kizungu jamani turudi kwenye destruri yetu ya kula vitu vya hasili, mostly hizi mboga mboga ndio zinakua na sumu na vitu kama nyanya,vitungu n.k coz almost evry food is prepared using them zikiwekwa madawa ya kukuza na kuzuia wadudu, zinatakiwa kukaa kwa mda kidogo but zinawekwa sokoni na watu wananunua na kula, tanzania yetu ni kama hamna mamlaka ya kucontrol hivi vtu na kama tbs basi wanakula rushwa bila kujali ni mtanzania mwenzake na ndugu yake anamua, its better kua na small garden if you can to take care of this small thing ambavyo ni vya everyday consumption on almost every meal, though mazara yake huyaoni but your life span inapungua day by day...
Same here,yaani yanatoa harufu kabisa,hata ile bufee yao,kuna vyakula vinakuwa vimeharibika.....