JERUSALEM 2006
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 527
- 596
Mtu kama huyu anashindwa kujua ni wapi akapost huu utumbo wake, hajui kuwa JF ni social media ya GREAT THINKERSMkuu acha kuwapa Watu matumaini makubwa bila kuwaeleza uhalisia wa hiyo bias hara. Inahitaji uwe na zaidi ya dollari 1000 kwa mwaka kuweza kulipwa hiyo dollari 100 kwa wiki. Eleza ukweli Mkuu acha maneno matamu
DO YOU WANT MORE THAN 100$ IN A WEEK?
DO YOU WANT TO BE A BOSS OF YOUR OWN?
DO YOU WANT TO PAY YOURSELF A SALARY OF YO CHOICE?
WITH TELEXFREE ALL OF THESE ARE POSSIBLE!!!!
FOR MORE INFORMATION CONTACT;
Jameslwakatare@yahoo.com;
0785619024
James Ishengoma Lwakatare.
Dont delay, be your own boss.
we mwenyewe umeshindwa kuzipata, ndomana unahaha kutapeli watu kwenye mitandao.
Wizi wa mchana, kama unakitu chenye manufaa ungeelezea, sio kutudanganya kwa kuweka no ya simu.
Anaongelea Juu ya Network Marketing, Bila kukosea hii itakuwa ni FOREVER Living.