NANGAI MSUMI
Senior Member
- Apr 12, 2015
- 146
- 94
Asubuhi huwa halionekani mpaka saa nane hivi.Mbona daraja halionekani
ama alikuwa anataka kuandika 15km na sio mitaAsubuhi huwa halionekani mpaka saa nane hivi.
Sijakosea ni Mita 15 tu. Yaan maana yake Viwanja vipo hapo hapo darajaniama alikuwa anataka kuandika 15km na sio mita
Viwanja vipo pembezoni mwa Daraja mkuuMbona daraja halionekani
Hivyo vya 4million ni vya ukubwa gani?Beach plot imekatwa Viwanja kigamboni mita 15 au 20 kutoka Daraja la Nyerere. Narudia Tena mita 15 kutoka DARAJANI. Vipo vya 4 Milion na 6.5 Milion. Vipo Viwanja 25 10 vishauzwa bado 15. Karibu sana 0652180400View attachment 2272401