CHE GUEVARA-II
JF-Expert Member
- Jun 17, 2010
- 571
- 158
iko mtwara mjini?
Hata kwa kukata inawezekana lkn si unajua gharama kwa jumla ya ekari 100 inakuwa ndogo kuliko kuuza moja moja.tugaie data kamili kaka watu tuchangamkie! mjini kumetushinda!! tunaweza kupata eka chache tu!! weka na namba za simu ili mawasiliano yawe ya kasi! kama vipi ni inbox